Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uvumi mwingi magazetini kuihusu man united si wa kweli unatengenezwa kukuza soko la wachezaji tu.
upo sahihi na hiyo hali wengine tumeshaizowea kwa muda mrefu.

umemuonaje huyu kijana?
ok hatuna uwezo wa kumn'goa eriksen basi mpaka huyu atushinde kama tunamuhitaji kweli.

overhaul ya waingereza wengi itatuangusha na mapema sana kabla ya ligi haijaanza.
tusije tukafanya mchezo huo.
 
Niliangalia clip zake Jana ni mchezaji mzuri sana hasa akipewa free role na mfumo wa uchezaji ukiwa wa kuposses na kushambulia
upo sahihi na hiyo hali wengine tumeshaizowea kwa muda mrefu.

umemuonaje huyu kijana?
ok hatuna uwezo wa kumn'goa eriksen basi mpaka huyu atushinde kama tunamuhitaji kweli.

overhaul ya waingereza wengi itatuangusha na mapema sana kabla ya ligi haijaanza.
tusije tukafanya mchezo huo.
 
1111065

Hapa vitimu viwili vilivyodinda kufungwa .vilishinda na vimeshuka daraja. Tulikuwa tuvune point sita, 66+6=72#71 ukikachukua katimu kengine tungekapiga +3point jumla kuu 75 points, tungekuwa nafasi ya tatu.

Wachezaji waliotukost ni mabeki na golie, wakati ilikuwa tuimchonge chelie 2;1 wolves alitunyanyasa sana. Everton nae mmmh 4:0 ilitukosti. Ukichunguza sana utadhani pana mdudu MTU alituzuia kuvuka. Kwa sababb haiwezekan timu hazina uwezo mkuuubwa zikatukosesha elite cup

Kwa nafasi tuliyonayo, ole anastahili big Up. Timu aliitoa deep down kuzimu.

Mambo yafuatayo so ya kui entertain.
  1. Laana ya mshahara wa Huyu flop wa asernal imetukosti
  2. Pogba ni kirusi
  3. Kusahau falsafa ya club. Lukaku asingethubutu kuwepo
  4. Beki line. Smalling, na Hutu mswedish wangebeshwa cross
  5. Keeper asepe tu
 
nimemuona dyabala, suso na eric lamela wa zamani kwa wakati mmoja humu ndani.

hivi ndio vipaji vya kutuma paundi millioni 60 na si wilfred zaha.

hivi ndio vipaji vinavyopaswa viwepo klabuni na sio lingard haijalishi watakuwa wachezaji wa hakiba.

hivi ndio vipaji vinavyopaswa kutishia kuondoka endapo hawataongezewa mshahara na si rashford.

nimesikia tottenham hotspurs wametuma offer ya paundi millioni 45 kwa huyu kijana kutoka real betis.

anahitaji mazoezi ya kuimarisha mwili zaidi ili aendane na vishindo vya uingereza wazee wa mbavu kwa mbavu.

kazi kwetu, nimeshaanza kutafuta kadi ya newcastle united.

huyu atakuwa ni mchezaji wa 90 kuvumishiwa anatakiwa man utd.
tetesi FC oyeee
Nenda tu Newcastle tuachie timu yetu hatutaki mashabiki vigeugeu
 
View attachment 1111065
Hapa vitimu viwili vilivyodinda kufungwa .vilishinda na vimeshuka daraja. Tulikuwa tuvune point sita, 66+6=72#71 ukikachukua katimu kengine tungekapiga +3point jumla kuu 75 points, tungekuwa nafasi ya tatu.

Wachezaji waliotukost ni mabeki na golie
Ile mechi na Everton iliniuma sana pale ndipo tulipopotea
 
Mshambuliaji wa Manchester United Mbelgiji Romelo Lukaku, 26, yupo tayari kukatwa mshahara ili ahamie klabu ya Inter Milan hivi karibuni. (Gazzetta dello Sport)
 
nimemuona dyabala, suso na eric lamela wa zamani kwa wakati mmoja humu ndani.

hivi ndio vipaji vya kutuma paundi millioni 60 na si wilfred zaha.

hivi ndio vipaji vinavyopaswa viwepo klabuni na sio lingard haijalishi watakuwa wachezaji wa hakiba.

hivi ndio vipaji vinavyopaswa kutishia kuondoka endapo hawataongezewa mshahara na si rashford.

nimesikia tottenham hotspurs wametuma offer ya paundi millioni 45 kwa huyu kijana kutoka real betis.

anahitaji mazoezi ya kuimarisha mwili zaidi ili aendane na vishindo vya uingereza wazee wa mbavu kwa mbavu.

kazi kwetu, nimeshaanza kutafuta kadi ya newcastle united.

huyu atakuwa ni mchezaji wa 90 kuvumishiwa anatakiwa man utd.
tetesi FC oyeee
Tukifanya masihara na Newcastle ikanunuliwa na mabwenyenye wa kiarabu basi hata Europa League itaanza kuwa ngumu
 
hii ndio taaarifa ya leo nilioiona saa moja lililopita

New statement from UAE: Terms have been agreed between us and Mike Ashley; these terms have been reflected in a document, signed by both parties, which has been forwarded to the Premier League.
 
Back
Top Bottom