Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,299
- 15,026
hahaha MKUU unautani na mos def
lakin mkuu unakua unaweka hata cha kuchechemea kidg!!
lakin mkuu unakua unaweka hata cha kuchechemea kidg!!
Young, Lingard, Jones, Rashford na Smalling utaifa unawabeba tu hakuna kitu pale.Mata, Herrera, De Gea, Valencia, Darmian, Rojo, Lukaku
siioni United ya kununua wachezaji saba
Ile sio sababu.. jamaa katubeba sana huyu.Wanaosema DeGea aondoke mi hata siwaelewi vichwani mwao wanawaza nini kwa kweli, kuboronga mechi za mwisho kisiwe sababu za kusema hatufai
Mi nadhani he is worth what he is demanding, ukiangalia Sanchez mshahara anaolipwa na hafanyi wonders,Pogba pia. Nadhani ED anatuangusha sana Kawaacha wachezaji wameondoka free.Ile sio sababu.. jamaa katubeba sana huyu.
Tatizo kagoma kutia saini mkataba mpya.. Na kabakiza mwaka 1
Ivi humu waga mnakaa mnajadili nini na team lenu ilo bovu?
Wanaosema DeGea aondoke mi hata siwaelewi vichwani mwao wanawaza nini kwa kweli, kuboronga mechi za mwisho kisiwe sababu za kusema hatufai
Mkuu mwenye timu nzuri miaka 30 unasotea EPL?... Usioge umevaa nguo .Ivi humu waga mnakaa mnajadili nini na team lenu ilo bovu?
Tuna Safari ndefu kweli kweli. Sawa tu, wacha tuchukue vijana wa championship washindane na wanaojua EPL tuone. Nahisi Nafasi ya 6 huenda ikwa kawaida kwetu saivi.Boss anataka wachezaji wanne tena atleast watatu toka Championship, Nina Mashaka sana
https://metro.co.uk/2019/05/24/ole-...ter-united-signings-by-start-of-july-9672425/
acha hao wenye mihela wakamchukueYule dogo Felix haondoki benfica kivyepes.....wamesema £88m hawataki
Fikiria Sane na jesus wameondoka!!ila sioni Pep akitoa hela hiyo isitoshe huyo hajikuwa tegemezi anakuwa nyiongeza tu kama ilivyokuwa kwa Mahrez.