Kuna watu humu washagoma kukubali uhusiano wa wa moja kwa moja wa Mafanikio ya timu uwanjani na Mafanikio ya timu kimapato/biashara.City overtake United off the pitch View attachment 1087871
Taratibu wataelewa tu mkuuKuna watu humu washagoma kukubali uhusiano wa wa moja kwa moja wa Mafanikio ya timu uwanjani na Mafanikio ya timu kimapato/biashara.
Nafasi zipo mbili. Point 71 za Spurs zinafikiwa na timu zote zilizo top six, hata MUFC. Kumbuka Spurs leo kapigwa na wachezaji wawili red kadi.waingereza mupo ndugu yenu nawasalimia top
ila kuna reffere Ameniambia niwakumbushe top four kuna nafasi mmoja tu
cityzen chairman am here
Spurz ana 70 pointNafasi zipo mbili. Point 71 za Spurs zinafikiwa na timu zote zilizo top six, hata MUFC. Kumbuka Spurs leo kapigwa na wachezaji wawili red kadi.
@radikaHivi Radika yuko wapi huyu mtu.?
Kaamia kwenye uzi wa Chelsea @radika
Manchester utd siku hizi imekuwa Kama choo cha bus stand kila mtu anajisaidia,msimu huu mtamaliza nafasi ya sita.Unaongea pumba kweli ww cheltako ,
Nan kakwambia mick ni bench warmer, ndio maana nasema umeujua mpira baada ya muhind kuleta betting,
Unamtaja mick ambaye mwez ulioisha tu kachukua mchezaj bora wa arsenal,
Huyo odoi sijui hata mnamsifiaga nn, mm naonaga anarukaruka, tushakuwa na wachezaji waliochipuka kuzid huyo odoi,
Cheltako muache kelele, nafas ya 6 ni halali yenu,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Ebu leta source asili ya taarifa; siyo hiyo page ya Azam.City overtake United off the pitch View attachment 1087871
Mkuu nilikuwa sijui kama Azam sio sourceEbu leta source asili ya taarifa; siyo hiyo page ya Azam.
Ebu leta source asili ya taarifa; siyo hiyo page ya Azam.
Asante kwa kunikumbusha kumbe tunaweza kabisa kushika nafasi ya Tatu. Mechi mbili zilizobaki tunacheza na walioshuka daraja.Spurz ana 70 point
Watu wengi wameipinga hii tafiti.City overtake United off the pitch View attachment 1087871