Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Style ya OGS ni pressing na counter attack mkuuManchester united wanahitaji kubadili falsafa ya uchezaji [Legacy yao ya Ferguson] na kuingia kwenye pressing style!
Modern football iko hivyo!
Tunapaswa kujipa muda zaidi kuulea mtindo huu mpya Wa kucheza!
Sioni kama tatizo liko kwa wachezaji!
Blueprint ya Ferguson inaitafuna klabu! Tubadili kabisa falsafa ya kucheza, nafikiri Liverpool, Manchester city, Asernal wanaweza kuwa somo kubwa sana kwetu.
Tuache kulaumu wachezaji wetu
Ndio maana anapenda wachechaji wenye ile mentality ya "kufia timu"
Amemkopi SAF mambo mengi lakini pia anatumia hiyo style ya ku press wakati timu haina mpira
Pressing style huwa ina force timu pinzani kufanya makosa
Nitakupa mifano kadhaa. Magoli 2 ya kwanza tuliyopata dhidi ya PSG kule Paris ni matokeo ya pressing. Dakika 10 au 15 za kwanza kule Nou Camp kwenye robo fainali tulianza kwa pressing ya hatari.
Lakini unawezaje kucheza hiyo style kwa timu ambayo kwenye preason haikuandaliwa kucheza style hiyo. Kumbuka kabla ya kuja OGS, timu yetu ilikuwa ya pili au ya kwanza kwa timu zilizokimbia kilometa cache (timu wavivu) kwenye EPL
Kwa miezi hii michache, ameshindwa kutumia hiyo style ipasavyo sababu kucheza kwa ile style unahitaji proper pre season mkuu, inahitaji a real fit physicality
