Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Wenger sio mchumi.Sawa mkuu
Basi mleteni mchumi Arsene Wenger mzee wa kubana matumizi
Ila hali ya pale Arsenal ndo ilimfanya awe hivyo.
Akipata timu inayomwaga mpunga utafurahi mwenyewe.
Wenger sio mchumi.Sawa mkuu
Basi mleteni mchumi Arsene Wenger mzee wa kubana matumizi
Spurs,na liver wajapata hata hivyo vikombe vya mbuzi misimu mi5 iliyopita.........Patience inakuwepo ukiwa unaokoteza hata hivi vikombe vya mbuzi.
yaani ule uwanja wao mpya ambao Ni wa kisasa England yote,una pitch 2(inaslid inatoka,inakuja ingine) Ni sehemu TU ya project hiyo......Umesema kweli ,Man u kwa sasa hajulikani playing style ipi anatumia.Manchester united wanahitaji kubadili falsafa ya uchezaji [Legacy yao ya Ferguson] na kuingia kwenye pressing style!
Modern football iko hivyo!
Tunapaswa kujipa muda zaidi kuulea mtindo huu mpya Wa kucheza!
Sioni kama tatizo liko kwa wachezaji!
Blueprint ya Ferguson inaitafuna klabu! Tubadili kabisa falsafa ya kucheza, nafikiri Liverpool, Manchester city, Asernal wanaweza kuwa somo kubwa sana kwetu.
Tuache kulaumu wachezaji wetu
Umesema kweli ,Man u kwa sasa hajulikani playing style ipi anatumia.
Kinachotakiwa ni waamue style gani wanataka tumia, then wafanye recruitment. Kuanzia coaches mpaka players wanaoendana na style wanayotaka kutumia.
Sio unasajiri wachezaji halafu ndio uamue style unayotaka kucheza .
Mkuu gini wijnaldum alikuwaga Newcastle inaumiza sana yan dah
Mbona Chelsea anabeba bila kupitia huko?Mkuu kui rebuild utd itachukua no less than 3yrs.......Kama ulivyo ainisha hapo juu
Year 1;cleanse and recruit real good players
Yerar 2; strengthen the squad, recruit top class payers
Year3; contend and win titles....
Note: pep na klopp wote huu ndo msimu wao wa 3,
Tukitaka Mafanikio ya haraka kwa msimu ujao au ule mwingine Ni ngumu Sana labda ma bosi wakubali KU sprung1bilion + (Messi,mbappe, oblac, Erikson, etc all best players)
Utd wafanye wazungushe kitu inaitwa 'an offer u can't refuse' (Kama utd wababe kweli)
Mkuu ni Jambo zuri but je Madrid wanacheza Kama Barça au man city na je tothenham anachezaje Kama Liverpool.... Mimi naimani Hatujapata combination ya wachezaji wenye work rate nzuri maana fergie style lazima mchezaji awe fit kwelikweli sio kubahatisha na mwili wa jaba kama lukaku...... Trust me give us 2 years tukisajili vizuri wachezaji wepesi 6 tu tutasumbua sana bro...... Yani hizi timu za pasi nyingi UEFA zinateseka sana tu mkuuManchester united wanahitaji kubadili falsafa ya uchezaji [Legacy yao ya Ferguson] na kuingia kwenye pressing style!
Modern football iko hivyo!
Tunapaswa kujipa muda zaidi kuulea mtindo huu mpya Wa kucheza!
Sioni kama tatizo liko kwa wachezaji!
Blueprint ya Ferguson inaitafuna klabu! Tubadili kabisa falsafa ya kucheza, nafikiri Liverpool, Manchester city, Asernal wanaweza kuwa somo kubwa sana kwetu.
Tuache kulaumu wachezaji wetu
Mkuu hao wote hakuna kocha , Tafuta world class managers mkuu, niseme tu ukweli, watu wamempigia chapuo pochetno ila kwangu mim hawez....kocha wa kuweza kusuka kikosi ni Anceloti, Eniruque,konte, yule jamaa aliyeipa bayern Uefa 2013. hao kidog wapo vyema..United haiwez kuvumilia kocha wa aina ya klop, ambaye inamchukuaisimu mitatu ya kuregroup kikosi, haiwez...Nuno Espirito Santo
Pochettino
Laurent Blanc
Arsene Wenger
Rafa Benitez
Javier Garcia
Walter Mazzarri
Former AS Roma manager
Mkuu hao wote hakuna kocha , Tafuta world class managers mkuu, niseme tu ukweli, watu wamempigia chapuo pochetno ila kwangu mim hawez....kocha wa kuweza kusuka kikosi ni Anceloti, Eniruque,konte, yule jamaa aliyeipa bayern Uefa 2013. hao kidog wapo vyema..United haiwez kuvumilia kocha wa aina ya klop, ambaye inamchukuaisimu mitatu ya kuregroup kikosi, haiwez...
England Ni timu 5 walau zenye huo mfumo, ukiondoa Manchester!Mkuu ni Jambo zuri but je Madrid wanacheza Kama Barça au man city na je tothenham anachezaje Kama Liverpool.... Mimi naimani Hatujapata combination ya wachezaji wenye work rate nzuri maana fergie style lazima mchezaji awe fit kwelikweli sio kubahatisha na mwili wa jaba kama lukaku...... Trust me give us 2 years tukisajili vizuri wachezaji wepesi 6 tu tutasumbua sana bro...... Yani hizi timu za pasi nyingi UEFA zinateseka sana tu mkuu
Usiwe plastic fans!Hivi hawa wachezaji wa man u wanayo spirit ya kupambana hiviiiii?
Hovyo man u,naacha kuishabikia
Hata aibu huoni Tutashangilia Spurs hahahahahahahahah shangilia limkweche lako hili la mtaa wa 6Nafikiri tutashangilia Spurs... No way.






munaitaji kuonewa huruma sana...Hata km kuna baadhi wanaweza ila kocha wa zamani wa cardiff panga pangua hata waharibu vipi au wasipaform vzuri ni young,lingard,smalling,jones na rashford wengine hawana maana na sahv anakuja na scot mctominayHivi hawa wachezaji wa man u wanayo spirit ya kupambana hiviiiii?
Hovyo man u,naacha kuishabikia
Ilikuwepo enzi ya fergieHivi hawa wachezaji wa man u wanayo spirit ya kupambana hiviiiii?
Hovyo man u,naacha kuishabikia
Dakika za mwisho mashabiki wa 'The Red Devil' mumekuwa wapole sanamunaitaji kuonewa huruma sana...