GGMU..Three points and we deliver when it matters the most.
Special thanks to A. Young for inspiring United with an incredible dive. Kudos!
Wazee wa kubebwa.Bravo.
Well done! Kwa mwendo huu inabidi kushinda kila gemu ili kubaki na trophy. Jirani mtani hatabiriki
Im a big man utd supporter but i have to admit ASHLEY YOUNG is a DISGRACE...
Im a big man utd supporter but i have to admit ASHLEY YOUNG is a DISGRACE...
me pia ni man u fan but anavyofanya Young its unfair halafu mbaya zaidi anafanya hivyo kwa timu yake aliyotoka(kabla ya kuja utd)
No soccer without fitna, angalia timu zile bora duniani kwenye kutafuta ushindi fitna muhimu sana ikibidi,
U want to play safe kama Arsenal and win nothing for years or u want to use every tactics necessary to win trophies like Manchester United and Barcelona? Cheating are there and will always be. so kama vp hameni asee..!