Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpaka sasa hili suala limeshachosha ina maana man u wanatafuta mtu wa kuchukua hiyo nafasi Moja tu for three years ?
Kuhusu Sporting Director

Muda wa majaribio umepita pale OT, tulipaswa kupata mtu ambaye ameshaifanya ile kazi kwa mafanikio

Tumeweka kocha ambaye bado hajawa proved kwenye highest level

Ghafla tunakuja kwa Sporting Director ambaye hajawahi kufanya hiyo kazi

Kama ni lazima kuajiri ma legend, ninaimani wapo wengi ambao angalau wamefanya kazi kama hizo mfano Van de Sar na wengine wengi
 
Mpaka sasa hili suala limeshachosha ina maana man u wanatafuta mtu wa kuchukua hiyo nafasi Moja tu for three years ?
DoF ndio kila kitu kwenye mafanikio ya timu hiyo nafasi ni nyeti sana kwa mpira wa kisasa tusichukulie

kuliko hiyo nafasi kubaki wazi next season bora akae huyo Rio
 
IMG_5166.JPG
 
Kuna mtazamo mwingine pia

Sporting Director ni muhimu kwenye ku suggest transfer strategies za klabu, ku identify targets, kufanya mazungumzo, kisha kusainisha wachezaji

Kwa kuwa kati ya hayo ni moja tu limebaki na nafasi ya Sporting Director sio ya kuweka ili mradi mtu, inapaswa kujipa muda ili kuja kupata mtu sahihi

Kiufupi, mengi kati ya ambayo ma Sporting Directors kwenye timu nyingine wameyafanya, waliyaanza kuyashughulikia Oktoba - Desemba 2018
DoF ndio kila kitu kwenye mafanikio ya timu hiyo nafasi ni nyeti sana kwa mpira wa kisasa tusichukulie

kuliko hiyo nafasi kubaki wazi next season bora akae huyo Rio
 
Kuna mtazamo mwingine pia
Sporting Director ni muhimu kwenye ku suggest transfer strategies za klabu, ku identify targets, kufanya mazungumzo, kisha kusainisha wachezaji
Kwa kuwa kati ya hayo ni moja tu limebaki na nafasi ya Sporting Director sio ya kuweka ili mradi mtu inapaswa kujipa muda ili kuja kupata mtu sahihi
Kiufupi, mengi kati ya ambayo ma Sporting Director kwenye timu nyingine wameyafanya waliyaanza kuyashughulikia Oktoba Desemba 2018
mwaka ule tulivyomaliza kucheza fainali ya Europa, United ilianza mazungumzo ya kumchukua Van Der Sar kuwa DoF wakati huo yeye alikuwa ktk nafasi kama hiyo pale Ajax, sijui hata waliishia wapi mpaka leo, kwahiyo mkuu tukisema swala la muda fikiria kutokea 2016 mpaka leo 2019 hakuna hata kopi yake ktk hiyo nafasi.

kiufupi United imewekeza nje ya uwanja na haya ndiyo matokeo yake, siku zote muda huongea ndo kama hivi sasa.

tena hapo, hao mabosi wameshtuka baada ya kelele za mashabiki kuongezeka.
 
Mkuu upo sahihi kuhusu kuchelewa, tumechelewa sana kupata huyo mtu

Mpaka kuna wakati nahisi labda Ed anaogopa tukipata Sporting Director atapungukiwa power ndani ya klabu ndio maana hataki/anachelewesha mchakato

Mimi Mkuu nipo upande wa bora tuchelewe lakini tupate Sporting Director aliyekwisha fanya kazi hiyo kwa mafanikio, kuliko kwa kuwa tumechelewa tuendelee kupata watu wa majaribio

Tupo kwenye majaribio na OGS, kwanini tuingie tena kwenye majaribio kwenye nafasi nyeti kama ya Sporting Director ili hali kwa sasa bado tuna muda?

Mfano Van De Sar hivi karibuni aliulizwa kuhusu kazi hiyo pale United, akasema United ni family club na hafungi milango siku moja kuja kufanya kazi hapo United, lakini kwa sasa ana focus kwenye safari ya Champion League na Ajax. Je hatuwezi kusubiri Ligi yao iishe na safari yao ya Champion League iishe tumchukue yeye?

Juzi juzi nilisoma sehemu, wanasema Ed anataka aajiri Sporting Director ambaye anaweza kum control, inawezekana hii pia ni sababu ya kumtaka mtu kama Rio.

Ninachoamini, hata tukipata Sporting Director leo, inputs zake kwenye usajili itakuwa ni almost 0% kwenye usajili wa summer hii. Watakaosajiliwa summer hii kwa asilimia kubwa itakuwa ni kazi ya OGS na Phelan na Recruitment Department
 
wakati huo huo ED ameongea na Schemichel, Scholes, Fletcher na Rio katika nafasi hiyo
yetu macho mkuu
 
mwaka ule tulivyomaliza kucheza fainali ya Europa, United ilianza mazungumzo ya kumchukua Van Der Sar kuwa DoF wakati huo yeye alikuwa ktk nafasi kama hiyo pale Ajax, sijui hata waliishia wapi mpaka leo, kwahiyo mkuu tukisema swala la muda fikiria kutokea 2016 mpaka leo 2019 hakuna hata kopi yake ktk hiyo nafasi.

kiufupi United imewekeza nje ya uwanja na haya ndiyo matokeo yake, siku zote muda huongea ndo kama hivi sasa.

tena hapo, hao mabosi wameshtuka baada ya kelele za mashabiki kuongezeka.
Mou alikataa kuwa na mtu mwenye role ya DoF
 
Mkuu upo sahihi kuhusu kuchelewa, tumechelewa sana kupata huyo mtu

Mpaka kuna wakati nahisi labda Ed anaogopa tukipata Sporting Director atapungukiwa power ndani ya klabu ndio maana hataki/anachelewesha mchakato

Mimi Mkuu nipo upande wa bora tuchelewe lakini tupate Sporting Director aliyekwisha fanya kazi hiyo kwa mafanikio, kuliko kwa kuwa tumechelewa tuendelee kupata watu wa majaribio

Tupo kwenye majaribio na OGS, kwanini tuingie tena kwenye majaribio kwenye nafasi nyeti kama ya Sporting Director ili hali kwa sasa bado tuna muda?

Mfano Van De Sar hivi karibuni aliulizwa kuhusu kazi hiyo pale United, akasema United ni family club na hafungi milango siku moja kuja kufanya kazi hapo United, lakini kwa sasa ana focus kwenye safari ya Champion League na Ajax. Je hatuwezi kusubiri Ligi yao iishe na safari yao ya Champion League iishe tumchukue yeye?

Juzi juzi nilisoma sehemu, wanasema Ed anataka aajiri Sporting Director ambaye anaweza kum control, inawezekana hii pia ni sababu ya kumtaka mtu kama Rio.

Ninachoamini, hata tukipata Sporting Director leo, inputs zake kwenye usajili itakuwa ni almost 0% kwenye usajili wa summer hii. Watakaosajiliwa summer hii kwa asilimia kubwa itakuwa ni kazi ya OGS na Phelan na Recruitment Department
Unaweza ukawa na DoF lakini hasikilizwi.
 
Mournho Akili imerudi sasa.

José Mourinho: "I would love to go to a club and be in conditions to do what Jurgen and Pep did. If you look at the [Liverpool] team that started the game, how many of them were there when Jurgen arrived? A couple."
-
"When Pep was not happy with the full-backs he had and in the [next] summer bought four [three] full-backs that he liked. When he bought one goalkeeper like Claudio Bravo and was not happy with Claudio Bravo, the next season he bought Ederson."
-
"When Jurgen is in the club and wins absolutely nothing for three-and-a-half years and he still has the trust, still has the confidence, still has the conditions to try to keep going and going."
-
"In my next job I will not be starting a conversation without knowing exactly what the club wants and what the club has to give in terms of structure and the club objectives."
 
Back
Top Bottom