kibumbu master
Member
- Nov 28, 2016
- 54
- 34
Link ninayoitumia inazinguaNaombeni link wakuu niqngalie mpira
Link ninayoitumia inazinguaNaombeni link wakuu niqngalie mpira
De Gea need a rest
De Gea need a rest
Degea
Chelsea ndio kacontrol mpira mpaka sasa na usipokuwa Makini utampeleka champions leagueUnaangalia mpira?
Mshumbuliaji mwenyewe Rashid Ufudu kila mpira analikimbia goliPia Washambuliaji wafunge zaidi
With all the respects kuna baadhi ya game de gea anatukwamisha aise!!Hadi Romero leo kaonyeshwaaa...dada gea anatakiwa apigwe benchii
Dogo ameshavimba wakati hata level ya delle ali hajaifikiaRashford sijui anajikuta nani yani dah.de Gea Mhh
Lukaku kaacha kutoa assist muhimu dak za mwanzoni kabisa,sijui ubinafsi kaanza liniLUKAKU Dah nimecheka sana sana ile push hahahahahahahahah
With all the respects kuna baadhi ya game de gea anatukwamisha aise!!
Kama ni mawazo ya kwenda spain aende tu.Hawa chelsix tunawamudu kabisa
Rashford sijui anajikuta nani yani dah.de Gea Mhh