Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,620
- 39,980
Katika orodha yako, mchezaji atakayemfukizisha kazi OGS ni Rashford.Rashford. Lingard. Smalling. Young. Jones.
Hawa lazima wamfukuzishe kazi Ole.
Katika orodha yako, mchezaji atakayemfukizisha kazi OGS ni Rashford.Rashford. Lingard. Smalling. Young. Jones.
Hawa lazima wamfukuzishe kazi Ole.
Big NO,Nadhani alikuta mchakato wa kuwaongezea mkataba umeshaanza.
Jana hata kama ningekutana na Jkt Ruvu ya Masau Bwire ningemuachia hata magoli 10 ili Liverpool aipate fresh..Naona jana mlikuwa mnacheka usoni kumwona mpinzani wenu mkuu Liverpool akipoteza ubingwa kupitia ninyi huku rohoni mmejawa na maumivu tele ya kukosa top 4![]()
Jose Mourinho is the most succesfull manager for Manchester United post SAF era,he demand new defenders Woodward block it (United have concede 50+ goals in EPL our worst record 3 game to go).Sometimes watu tunatakiwa tuweke mapenzi pembeni na tuwe kwenye uhalisia Mou sio kocha mbaya na ana profile kubwa lkn profile yako hakifanyi hata kama kuna wakati unafanya vibaya uachwe uzidi kuiangamiza timu kisa profile yako.
Kumbukeni Mourinho ameipa sana Chelsea mafanikio tena zaidi ya United lkn alipofanya vibaya akatimuliwa tena katika vipindi viwil tofauti hivyo hvyo alipoenda Real Madrid.
Alaf kitu kingine kuwa mourinho alipewa funds mata nyingi kusajili lkn akawa ana sajili wachezaj ambao wanakuja kukaa benchi huku akiwa kawasaini yeye mwenyew then ana demand tena apewe fungu. Mfano huwez nunua center back kila msimu then wakija united wanakaa benchi alaf unatumia wale wale wabovu uliowakuta na pia kupoteza bure pesa za club.
Alifanya hivyo kwa Erick Bailly akaanza fresh akaishia benchi akaenda kwa Lindelof mpk anaondoka alikuwa ameshindwa kumtumia na alikua akitaka beki mwingine,kamnunua Mikhitaryan kashindwa kumtumia zaidi kamuua kabisa,katuletea galasa Lukaku kwa mihela kibao mwishowe hovyo, then kaenda kutuharibia timu kwa kutuletea mfanyakazi hewa ambaye kaja kutuharibia timu kwa kulipwa pesa kibao alaf soka hakuna, akatoka pia akaenda kununua promising player na sio complete Diogo Dalot kwa £19m akiwa kacheza michezo nane tu pale Porto, club ikampa hela then akaenda kusajili golikipa mzee namba 3 Lee Grant wkt tunao watoto mafundi akina Joel Pereira, Dean Henderson.
Kwa pesa na back up alipewa vizur sema naweza sema kwetu alikua hana jipya.
Ukitazama hata jana kama mlikuwa hamjui wapenzi Mou tulifungwa mabao mawili na City ambayo tofauti ya thaman ya vikosi ni £13m. Man city £441m na Man united £427m lkn hatuwasogelei kwa uwezo hata robo utafikili kikosi chetu cha paundi £20m na wachezaj hao walionunuliwa wote kawanunua Mou.
jose mourinho amenunua walinzi wawili tu wakati kwa misimu mitatu aliyokaa klabuni ambao ni eric bailly na victor lindeloff,
sasa jiulize wewe hao walinzi wawili kwa kutumia hiyo hoja yako je wana uwezo wa kucheza misimu mitatu mfululizo bila ya kuwepo wengine?
Msimu wake wa kwanza mr lindeloff hakucheza vizuri pengine ilichangiwa zaidi na mazingira ya ligi kuu ndio maana akawa anakaa benchi.
upande wa eric bailly msimu wake wa kwanza ndiye alikuwa mchezaji wetu muhimu mwanzoni mwa msimu na alikuwa regular starter, eric amepoteza muelekeo mwishoni mwa msimu uliopita kutokana na majeruhi ya mara kwa mara na hata performance yake msimu huu ilikuwa ni dhaifu tokea jose yupo na mpaka muda huu hayupo ndio maana special one alikuwa anamweka nje.
kuwekwa kwa benchi kwa mchezaji aliyesajiliwa kwa fedha nyingi si ajabu na mifano ipo mengi kama vile gareth bale, alvaro negredo, ryad mahrez, mangala, bony wilfred, ousmane dembele, felippe coutinho.
ulitaka jose afanye nini wakati matajri wameendelea kuwashikilia wachezaji aina ya jones, darmian na wengineo?
mwaka huu nashuhudia mambo ya ajabu sana kutoka kwa mashabiki wenzangu wa manchester united
- anashinda ole gunnar solskjaer anatukanwa mourinho
- anafungwa ole gunnar solskjaer anatukanwa mourinho
The way timu inavyoendeshwa unafikiri kocha gani ambaye hatafukuzwa ?Kocha bora asaini hovyo na huwez ukawa una demand eneo ambalo ushapewa fungu zaid ya mara mbili na watu wakashindwa kupafom .
Alaf mfano uliotoa kwa Bale,Coutinho kule Barca na Real ni wachezaj wazuri walienda kwenye timu bora zenye wachezaj bora.
Wakat united haina Galactico so unatumia pesa kibao alaf wachezaj wanaokuja wanaenda kukaa benchi kwa wachezaj wabovu.
Alaf wachezaj kama Wilfred Bonny na Mangala hawakuwah kusajiliwa na Pep na ndo mana aliwapiga fagio wachezaj wabovu ambao walisajiliwa hovyo na meneja aliyepita.
So hakuna excuse ya kumtetea Mourinho kama alishafukuzwa Chelsea na real sehem aliyofanya vizur zaidi y abaki aendelee kubaki kukaa united wakat timu inafanya vibaya
ukipitia comment zangu za zamani naamini utajifunza msimamo wangu juu ya jose mourinho, mimi naomba tumuache jose apumzike na familia yake muda huu, tunafanya makosa makubwa kumbebesha mzigo wa lawama special one kwa haya matokeo tunayoyapata kipindi hiki.So hakuna excuse ya kumtetea Mourinho kama alishafukuzwa Chelsea na real sehem aliyofanya vizur zaidi y abaki aendelee kubaki kukaa united wakat timu inafanya vibaya
| Oleksandr Zinchenko | Claudio Bravo | Nolito | İlkay Gündoğan | Gabriel Jesus | Danilo | Ederson | Bernardo Silva |
| Kyle Walker | Benjamin Mendy | Aymeric Laporte | Riyad Mahrez | Douglas Luiz | marlos moreno |
| wilfred bony | dzeko | zabaleta, | clichy | sagna | joe hart, | samir nasri | demichelis | fernando, | yaya toure | kelechi iheanaco | jesus navas, | steven jovetic |
Kwa point zako hizi Man United tunahitajiukipitia comment zangu za zamani naamini utajifunza msimamo wangu juu ya jose mourinho, mimi naomba tumuache jose apumzike na familia yake muda huu, tunafanya makosa makubwa kumbebesha mzigo wa lawama special one kwa haya matokeo tunayoyapata kipindi hiki.
Alaf wachezaj kama Wilfred Bonny na Mangala hawakuwah kusajiliwa na Pep na ndo mana aliwapiga fagio wachezaj wabovu ambao walisajiliwa hovyo na meneja aliyepita.
maneno niliyoyaweka bold umerudi pale pale kwenye mjadala wetu wa mara kwa mara humu ndani, tofauti kubwa iliopo kati ya guardiola na makocha wanaofundisha timu yetu ni uhuru waliopewa wa kufanya mabadiliko chanya ya kimfumo na kiuchezaji.
hili limeshazungumzwa zaidi ya mara 100 humu ndani.
Oleksandr Zinchenko Claudio Bravo Nolito İlkay Gündoğan Gabriel Jesus Danilo Ederson Bernardo Silva Kyle Walker Benjamin Mendy Aymeric Laporte Riyad Mahrez Douglas Luiz marlos moreno
wakati guardiola anapewa uhuru wa kusajili wachezaji hao niliowawaka kwenye table na wengineo wanaochezea reserve team ukija upande wetu hali ni tofauti.
hawa wote amewaondoa kwa misimu miwili tu, ukija kwetu wachezaji wenye viwango vya zabaleta na wapumbavu wengineo wamejaa tele lakini wanapewa mikataba mipya.
wilfred bony dzeko zabaleta, clichy sagna joe hart, samir nasri demichelis fernando, yaya toure kelechi iheanaco jesus navas, steven jovetic
wachezaji wanaozidi kiuwezo na edin dzeko wamejaa tele klabuni lakini ndio hao leo hii wanataka kupewa kandarasi ya paundi laki 3 kwa wiki.
guardiola alirithi squad iliohitaji mabadiliko madogo sana ukilinganisha na timu yetu na ushahidi wa hilo fuatilia ubora wa timu mbili hizi mnamo mwaka 2015/2016
Kwa point zako hizi Man United tunahitaji
√Mwalimu wa mpira mwenye jicho zuri,na aliye aggressive..je Ole ndo mwenyewe??..am not sure
√Ed amu-support huyo mwalimu 100℅
√Achaguliwe DOF ambaye at some point ameshaprove vitu
Na pia Mechi nyingi ambazo tumecheza chini ya Ole,kila mara tukishazidiwa tu kidogo basi huoni mabadiliko yoyote kiuchezaji mpaka mpira unaisha,,so kimbinu tunaweza kusema Ole bado..ila wengi wamempa muda hadi next season..
- sidhani kama ed woodward ana nia ya dhati ya kutafuta DOF mwenye experience ya kazi kumshinda yeye na dalili zinaonekana.
- ole gunnar haeleweki mpaka sasa, ukiangalia huu ni mwezi wake wa tano tokea awasili klabuni lakini sijaona ufundi wowote aliokuja nao, ni ujinga kujiaminisha ya kwamba eti tutaimprove wakati wa pre season. Nyota njema ya kiuchezaji huonekanwa asubuhi na mapema.
He is doomed to fail. If thats the case.Big NO,
OGS ndio ali-aprove Fellaini auzwe ,Valencia asiongezewe mkataba na aka-aprove kina Martial,Jones,Young,McTominay kuongezwa mkataba
Hao ndio gundu la man u. Na uzur hata waingereza wenyewe wameshawachoka. Wanatakiwa kufukuzwaRashford. Lingard. Smalling. Young. Jones.
Hawa lazima wamfukuzishe kazi Ole.
jose mourinho amenunua walinzi wawili tu wakati kwa misimu mitatu aliyokaa klabuni ambao ni eric bailly na victor lindeloff,
sasa jiulize wewe hao walinzi wawili kwa kutumia hiyo hoja yako je wana uwezo wa kucheza misimu mitatu mfululizo bila ya kuwepo wengine?
Msimu wake wa kwanza mr lindeloff hakucheza vizuri pengine ilichangiwa zaidi na mazingira ya ligi kuu ndio maana akawa anakaa benchi.
upande wa eric bailly msimu wake wa kwanza ndiye alikuwa mchezaji wetu muhimu mwanzoni mwa msimu na alikuwa regular starter, eric amepoteza muelekeo mwishoni mwa msimu uliopita kutokana na majeruhi ya mara kwa mara na hata performance yake msimu huu ilikuwa ni dhaifu tokea jose yupo na mpaka muda huu hayupo ndio maana special one alikuwa anamweka nje.
kuwekwa kwa benchi kwa mchezaji aliyesajiliwa kwa fedha nyingi si ajabu na mifano ipo mengi kama vile gareth bale, alvaro negredo, ryad mahrez, mangala, bony wilfred, ousmane dembele, felippe coutinho.
ulitaka jose afanye nini wakati matajri wameendelea kuwashikilia wachezaji aina ya jones, darmian na wengineo?
mwaka huu nashuhudia mambo ya ajabu sana kutoka kwa mashabiki wenzangu wa manchester united
- anashinda ole gunnar solskjaer anatukanwa mourinho
- anafungwa ole gunnar solskjaer anatukanwa mourinho
mkhitaryan hata huko arsenal kunaelekea kumshinda kiuchezaj, target ya kwanza kwa manchester united alikuwa ni griezmann lakini bahati mbaya athletico madrid walifungiwa kusajili hivyo basi ikawa vigumu kwa griezman kuondoka, man utd wakatuma ofa kwa alvaro morata lakini mazungumzo kati ya madrid na wawakilishi wa manchester united yakawa ovyo.
tumemkosa mgonjwa morata tumempata afadhali lukaku.ambaye cv yake ni kubwa nchini uingereza
mkuu bado unalalamika?
timu yako haitengenezi nafasi hata moja ya goli unakuja kumlaumu lukaku.
timu yako imejaza vikatuni unakuja kumalumu lukaku asiyepewa nafasi ya kutosha.
je hii ni sawa?
ExactlyKatika orodha yako, mchezaji atakayemfukizisha kazi OGS ni Rashford.
- sidhani kama ed woodward ana nia ya dhati ya kutafuta DOF mwenye experience ya kazi kumshinda yeye na dalili zinaonekana.
- ole gunnar haeleweki mpaka sasa, ukiangalia huu ni mwezi wake wa tano tokea awasili klabuni lakini sijaona ufundi wowote aliokuja nao, ni ujinga kujiaminisha ya kwamba eti tutaimprove wakati wa pre season. Nyota njema ya kiuchezaji huonekanwa asubuhi na mapema.
Pep alisajili wachezaji 11 alipoikuta Man City ilishafika nusu fainali UEFA lkn alifeli kwa kipa aliyemsajili badala ya Joe Hart kutimuliwa kwenda Italy ndipo Pep akasajili kipa no 1 wa Man City ss hv, Je Pep si kocha bora hadi asajili kipa paziaKocha bora asaini hovyo na huwez ukawa una demand eneo ambalo ushapewa fungu zaid ya mara mbili na watu wakashindwa kupafom .
Alaf mfano uliotoa kwa Bale,Coutinho kule Barca na Real ni wachezaj wazuri walienda kwenye timu bora zenye wachezaj bora.
Wakat united haina Galactico so unatumia pesa kibao alaf wachezaj wanaokuja wanaenda kukaa benchi kwa wachezaj wabovu.
Alaf wachezaj kama Wilfred Bonny na Mangala hawakuwah kusajiliwa na Pep na ndo mana aliwapiga fagio wachezaj wabovu ambao walisajiliwa hovyo na meneja aliyepita.
So hakuna excuse ya kumtetea Mourinho kama alishafukuzwa Chelsea na real sehem aliyofanya vizur zaidi y abaki aendelee kubaki kukaa united wakat timu inafanya vibaya

moreta brpther hivi aliyemsajili alvaro negredo pale manchester city nani?
aliyemsajili claudio bravo nani?