Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

The way timu inavyoendeshwa unafikiri kocha gani ambaye hatafukuzwa ?
Stage tuliyofika hatuhitaji kocha ambaye ni "YES MAN " tuna wachezaji ambao wakifungwa hawajali.Matatizo ya United yanaanzia kwenye top management ambapo decision maker ni watu ambao hawana ABC za football ndio wanafanya maamuzi mabovu while all top club wanaendesha timu kisasa

Kocha kufukuzwa kwenye modern football ni kawaida Ancellotti alifukuzwa Chelsea licha ya kupata mafanikio makubwa
Mkumbushe hata Real Madrid alifukuzwa pia japo aliwapatia kombe la UEFA
 
Kweli kabisa Chifu, Gadiola aliikuta Man City ikitoka kutinga nusu fainali ya UEFA lkn alipewa mzigo wa kutosha kuliko hata Man U kwaajili ya usajili.
ukipitia comment zangu za zamani naamini utajifunza msimamo wangu juu ya jose mourinho, mimi naomba tumuache jose apumzike na familia yake muda huu, tunafanya makosa makubwa kumbebesha mzigo wa lawama special one kwa haya matokeo tunayoyapata kipindi hiki.


Alaf wachezaj kama Wilfred Bonny na Mangala hawakuwah kusajiliwa na Pep na ndo mana aliwapiga fagio wachezaj wabovu ambao walisajiliwa hovyo na meneja aliyepita.

maneno niliyoyaweka bold umerudi pale pale kwenye mjadala wetu wa mara kwa mara humu ndani, tofauti kubwa iliopo kati ya guardiola na makocha wanaofundisha timu yetu ni uhuru waliopewa wa kufanya mabadiliko chanya ya kimfumo na kiuchezaji.

hili limeshazungumzwa zaidi ya mara 100 humu ndani.

Oleksandr Zinchenko Claudio BravoNolito İlkay Gündoğan Gabriel Jesus Danilo EdersonBernardo Silva
Kyle WalkerBenjamin MendyAymeric LaporteRiyad Mahrez Douglas Luizmarlos moreno

wakati guardiola anapewa uhuru wa kusajili wachezaji hao niliowawaka kwenye table na wengineo wanaochezea reserve team ukija upande wetu hali ni tofauti.

wilfred bonydzeko zabaleta,clichysagna joe hart,samir nasridemichelisfernando,yaya toure kelechi iheanaco jesus navas,steven jovetic
hawa wote amewaondoa kwa misimu miwili tu, ukija kwetu wachezaji wenye viwango vya zabaleta na wapumbavu wengineo wamejaa tele lakini wanapewa mikataba mipya.
wachezaji wanaozidi kiuwezo na edin dzeko wamejaa tele klabuni lakini ndio hao leo hii wanataka kupewa kandarasi ya paundi laki 3 kwa wiki.

guardiola alirithi squad iliohitaji mabadiliko madogo sana ukilinganisha na timu yetu na ushahidi wa hilo fuatilia ubora wa timu mbili hizi mnamo mwaka 2015/2016
 
Man united ni timu yenye profile kubwa sn duniani ht kocha anaetakiwa kuinoa ni lazima awe na profile kubwa pia. Profile la mou ni kubwa na ndo mana ninaamini km mou angecklzwa na ed wood man united ingetisha. Ole gunnar anajua tu utamaduni wa united lkn profile lake ni dogo sn kuifundsha timu kubwa km united. Timu yenye makombe 20 ya ligi kuu england ifundshwe na kocha ambae hajawah kutwaa ubingwa wa ligi zile kubwa pale ulaya huo ni uongo
Huyo kocha ashawahi kushusha timu daraja..nashangaa anapewa mikoba ya kuinoa timu yenye pressure kama man u...kisa anajua utamaduni...kuna viongozi pale Man u ni vichwa maji, kocha unapangiwa kikosi na mbinu, huo si uzwazwa..
 
Kweli kabisa Chifu, Gadiola aliikuta Man City ikitoka kutinga nusu fainali ya UEFA lkn alipewa mzigo wa kutosha kuliko hata Man U kwaajili ya usajili.
Guardiola alizinguana na wachezaji tena key player kama Toure, joe hat, nk , na timu ikawa inastruggle kuingia only top 4...mana hali ilikuwa ngumu, pressure ya kutimuliwa kocha ilionekana waz waz..lakn uongozi ulisimama kidete, wachezaji kibao wenye vibur wakauzwa, na mpunga ukamwagwa kuleta wachezaji wapya, kwa man u ni tofauti...kocha unatoa maoni kwamba nahitaji defender wapya, uongozi unakuangalia tuu, unawambia nahitaji attacking midf amabaye anaweza kutumika kama defence mid na unawaambia tena yule ndo anaifaa, uongozi umekuangalia tuu, mara uambiwe tunataka mchezaji anayweza kuintatain hvyo chukua sanchez, chukua pogba...akina ferguson walishastaaf lakn ndo wanaojifanya makocha wa kimya kimya...

Rashford kazi kukimbia tuu kama yupo kweny mstar mnyoofu alaf anaishia kupigana vikumbo na defender wa timu pinzan, pogba anacheza kwa kunyumbulika mwili utadhan ni miondoko ya pweza, ubishoo mwingi...Man u inahtaj kufanyiwa rehabilitation kuanzia kwenye uongozi mpak kwenye pitch
 
Kumfukuza mourinho walikuwa sahihi ila mistake kubwa waliyofanya ni kutompa ushirikiano wa kutosha Mou kwa mda aliokaa pale ot....wamekuja kustuka timeframe yake ya kukaa pale ot imeshaisha, na hivyo akawaachia timu mbovu... najua kabisa mou angeondka mwishon mwa msimu ujao kama wangempa ushirikiano mzuri na angeondka lakn angewatengenezea timu bora kabisa kwa mda wa misimu miwili au mitatu mbele bila kuhitaji changes kubwa, kosa la pili ni kuwapa mikataba wachezaji wabovu na kocha asiye na uzoefu .. kwa sasa hapa inahtajika mutibillion dolar to turn things around....huwezi kulitatua tatizo kwa nguvu ileile iliyotumika kulitengeneza..
 
Kocha bora asaini hovyo na huwez ukawa una demand eneo ambalo ushapewa fungu zaid ya mara mbili na watu wakashindwa kupafom .

Alaf mfano uliotoa kwa Bale,Coutinho kule Barca na Real ni wachezaj wazuri walienda kwenye timu bora zenye wachezaj bora.

Wakat united haina Galactico so unatumia pesa kibao alaf wachezaj wanaokuja wanaenda kukaa benchi kwa wachezaj wabovu.

Alaf wachezaj kama Wilfred Bonny na Mangala hawakuwah kusajiliwa na Pep na ndo mana aliwapiga fagio wachezaj wabovu ambao walisajiliwa hovyo na meneja aliyepita.

So hakuna excuse ya kumtetea Mourinho kama alishafukuzwa Chelsea na real sehem aliyofanya vizur zaidi y abaki aendelee kubaki kukaa united wakat timu inafanya vibaya

Mkuu kumbuka pia kwa timu kama Manchester ni ngumu kusajili mchezaji asiye na jina sababu timu ipo kibiashara zaidi, na ndo changamoto aliyoikuta mou, mpak akafikia kudemand sporting director...
hvi haujiulizi mbali na kufukuzwa na united bado club kama chelsea na madrid zinamuadmire....
ni kweli jamaa ni mbovu kwenye aina ya mchezo ila jamaa ni mzuri sana tena ni bingwa wa kusuka kikosi...
Hata option za akna Pogba, Sanchez ..hazikuwa lengo lake moja kwa moja, ila uongozi ulimpa kama best oltenative ili wapige pesa kupitia majina hayo,...
kila upande ukiangalia unalazimishwa utumie young player tena waliotoka kwenye academi ya timu akina lingard na rashford na hata januzaj, ukiwapiga bench kila mtu anabweka
mda ulikuwa unasonga na timu ilihtaji performance na ili uepukane na mikwaruzano na uongoz inabidi utumie tu hzo lazy goat ili upate matokeo...tatizo limekuja kuwa extreme na jamaa akafukuzwa...
lakn kama alivyosema roy keane leo na ole anaenda kufukuzwa tena.....
 
mkhitaryan hata huko arsenal kunaelekea kumshinda kiuchezaj, target ya kwanza kwa manchester united alikuwa ni griezmann lakini bahati mbaya athletico madrid walifungiwa kusajili hivyo basi ikawa vigumu kwa griezman kuondoka, man utd wakatuma ofa kwa alvaro morata lakini mazungumzo kati ya madrid na wawakilishi wa manchester united yakawa ovyo.
tumemkosa mgonjwa morata tumempata afadhali lukaku.ambaye cv yake ni kubwa nchini uingereza
mkuu bado unalalamika?
timu yako haitengenezi nafasi hata moja ya goli unakuja kumlaumu lukaku.
timu yako imejaza vikatuni unakuja kumalumu lukaku asiyepewa nafasi ya kutosha.
je hii ni sawa?​
Usirudie kusema Morata ni mgonjwa ..msimu anaweza kuwepo darajani na atakunyoosha nyingi sana. Kwanza ujue jumapili nakupiga Tano angalau moja. wew utaambulia on target mbili tu.

Lete stats za Morata na uyo lukaku..
 
Bolingoli vs Icard...united kwa rumaz hatujambo
20190426_100127_rmscr-1.jpeg
 
Mkuu huwa hukawii kujiteka
Usirudie kusema Morata ni mgonjwa ..msimu anaweza kuwepo darajani na atakunyoosha nyingi sana. Kwanza ujue jumapili nakupiga Tano angalau moja. wew utaambulia on target mbili tu.

Lete stats za Morata na uyo lukaku..
 
Kuna mtu humu alisema wachawi wakuu wa Man U ni 1 Ferguson 2.Ed Woodward, Mimi naongeza na OGS mwenyewe.

Ed Woodward ni mchawi namba moja kwa sababu anajali kuwafurahisha mabosi wa timu kwa kuendekeza biashara zaidi kuliko mpira halisi,na ndio maana kwenye signings Mara nyingi makocha wamekuwa hawapati first targets na hata second targets. Mpira wa sasa hivi ni wa uwekezaji wa mapesa mengi kwelikweli ndipo uwe mshindani wa kweli. Na ndio maana hata Ander Herrera anaona siyo ishu kwake kwa kupenda dezo.

OGS anataka kutumia kila kitu kama alivyofanya Ferguson kitu ambacho anajidanganya pakubwa sana mfano ktk mbinu za kiuchezaji, kukumbatia uingereza zaidi, na ndio maana akakurupuka kwa kuidhinisha mikataba mipya ya waingereza Jones,Smalling,Young na pesa ndefu kwa Martial ili hali work rate yake ni ndogo sana n.k

Ule mfumo wa ferg kiuchezaji hauwezi kufanya kazi tena kwa ufanisi kwenye zama hizi. Mimi nafikiri timu sasa hivi inapaswa ifundishwe Possession and attacking football at the same time. Ishu ya ma mipira marefu tu,cjui pasi mbili mshafika kwa adui imepitwa na wakati.
Mpira wa ferg ktk zama hizi ni ngumu kwa sababu kwanza OGS anapaswa kujua yeye si Ferg na hawezi kuwa ferg na hatofanikiwa kwa kutumia mbinu za ferg kwa 100%,ni lazima aje na ufundi wake kwa kiasi kikubwa zaidi na mbinu za ferg kidogo
Enzi za Ferg timu pinzani ilokuwa ina possess mpira na kushambulia kwa kiwango cha juu kabisa ni Barca na Mara zote alipokutana na hao watu aliteseka sana hadi alitetemeka pale Wembley mbele ya Malkia Elizabeth. Na huwa naamini hata ile 2009 tuliwatoa Barca nusu fainali kibahati tu. Na sasa timu za hivyo zimeongezeka ndio mana na mateso yanaongezeka
Mbinu zile zile zilitumiwa juzi hapa tulipocheza na Barca robo fainali na bado tukafeli vibaya sana. Kwa mpira wa kaunta ataki pekee pasipo umiliki mpira wa hali ya juu tutaendelea kuwa dhaifu hasa pale tutapokutana na timu zinazomiliki mpira na Ku press kwa hali ya juu. Hata PSG walitutaabisha nje ndani na tukawatoa kibahati,hyo yote sababu tulikutana na timu inayomiliki mpira na kushambulia. Mfano sasa unaweza ona timu yetu inapocheza na timu kama Man City,Liverpool,Tot na hata Arsenal jinsi inavyotaabika na wakati mwingi tunashinda kibahati.

Ole anapaswa kujua kuwa yeye ni kocha Mkuu wa Man U hivyo kumtegemea mtu mwingine ambaye hawi na wachezaji mazoezini,haingii dressing room, hakai pale technical area wakati wa mechi, hawezi kuwafokea wachezaji wanapozingua n.k ni kujidanganya na kujichimbia shimo ili aingie. Na akae akijua kuwa majanga yatapomkuta atabaki peke yake hatamuona Mzee ferg wakati anapewa barua ya kufukuzwa.
 
Ed Woodward Holds Crisis Talks With Ole Gunnar Solskjaer as Paul Pogba Begins to Divide Man Utd Team

Tom Gott26 APR 2019

7 k

Manchester United executive vice-chairman Ed Woodward held an urgent meeting with manager Ole Gunnar Solskjaer to discuss the team's abysmal run of form in recent weeks.


After enjoying an extended run of victories in the early days of Solskjaer's reign, the Red Devils have now fallen to seven defeats in their last nine games, which has left them facing the real possibility of missing out on Champions League football next season.


Club officials are said to be incredibly concerned by the team's current situation, and the Daily Mail state that Woodward demanded a meeting with Solskjaer and assistant Mike Phelan to try and find the root of their problems.



One of the talking points of the meeting was Woodward's concern that their team sheet for Wednesday's 2-0 defeat to Manchester City was leaked well in advance. The leak contained Solskjaer's plan to switch to a back-five and recall full-back Matteo Darmian, so they fear it must have come from someone inside the club.


Woodward is also concerned by the atmosphere in the dressing room, and The Sun claim that a lot of this negativity revolves around Paul Pogba.


The Frenchman is said to believe Solskjaer is not good enough to save the club, and there is a fear amongst players that the Norwegian does not have the strength to manage Pogba's ego. The midfielder clashed with Solskjaer over his tactics in the Manchester derby, and many in the squad began to lose patience with Pogba following the 4-0 defeat to Everton.


His agent, Mino Raiola, has cancelled contract talks with United to prove that Pogba wants to leave the club. According to The Times, the 26-year-old wants the chance to speak to Real Madrid, after growing disillusioned with the club's current direction.



Alexis Sanchez and Romelu Lukaku could also leave Old Trafford, as they prepare a major squad overhaul to try and compete for the Premier Leaguetitle next season.


Their recruitment department is also set for major changes, with The Telegraph noting that former United midfielder Darren Fletcher could be handed a behind-the-scenes role in the summer, to help identify new talent and organise their vast scouting network.


With three games left to play, United sit sixth in the league standings, three points behind Chelsea in fourth. They will meet the Blues on Sunday at Old Trafford, and defeat could effectively end their chances of qualifying for next season's Champions League.
 
Back
Top Bottom