The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Ooh zaltan how angry you ar to move ur team. Kangoa kifus kwa mkono. Yan pale united hakuna mbegu kama hii, labda lukaku ndy anakuwaga na hasira ya kupata tokeo hata kama ni tembo
Huyo ni Mnyama ,moja Kati ya usajili bora tuliowahi kuufanya siku za karibuni ameinufaisha klabu kimapato hadi kimafanikio ndani ya uwanja japo alikaa muda mchache akaondokaOoh zaltan how angry you ar to move ur team. Kangoa kifus kwa mkono. Yan pale united hakuna mbegu kama hii, labda lukaku ndy anakuwaga na hasira ya kupata tokeo hata kama ni temboView attachment 1081721
Huyo ni Mnyama ,moja Kati ya usajili bora tuliowahi kuufanya siku za karibuni ameinufaisha klabu kimapato hadi kimafanikio ndani ya uwanja japo alikaa muda mchache akaondoka
Ingekuwa kweli ingetufaa zaidiBolingoli vs Icard...united kwa rumaz hatujamboView attachment 1081520
Smalling asiondoke, lakin bas tu aondoke! Saa ingn lipogi siriazMuafaka wa Jones. Smalling. Young. Lingard. Matic. Haujajulikana bado.
Mata asisepe sema tu hapati namba ila asepe tu lakin kam asiondoke hivKutoka vyanzo mbalimbali, Wachezaji 7 wapo sokoni.
DeGea anatakiwa PSG kwa £60M.
Lukaku anaenda Italia.
Pogba anatakiwa Madrid ikiwa pamoja na deal la kupewa wachezaji wawili.
Sanchez ana tetesi za kwenda Italia endapo atakubali kushusha mshahara.
Mata haijajulikana wapi ataenda.
Rashford anatakiwa na Barca kwa £100M japo Utd wanataka £150M
Valencia anaondoka huru.
Rojo anarudi Argentina.
Herrera anaenda PSG.
Darmian hajulikani aendapo.
Kutoka vyanzo mbalimbali, Wachezaji 7 wapo sokoni.
DeGea anatakiwa PSG kwa £60M.
Lukaku anaenda Italia.
Pogba anatakiwa Madrid ikiwa pamoja na deal la kupewa wachezaji wawili.
Sanchez ana tetesi za kwenda Italia endapo atakubali kushusha mshahara.
Mata haijajulikana wapi ataenda.
Rashford anatakiwa na Barca kwa £100M japo Utd wanataka £150M
Valencia anaondoka huru.
Rojo anarudi Argentina.
Herrera anaenda PSG.
Darmian hajulikani aendapo.
Matic anaweza kuondoka pia ila hao wengine wapowapo sanaMuafaka wa Jones. Smalling. Young. Lingard. Matic. Haujajulikana bado.
hakuna timu iliyo serious inaweza kumtka young au lingard.Muafaka wa Jones. Smalling. Young. Lingard. Matic. Haujajulikana bado.
Alisajili karibu timu nzima na akafukuza nusu ya timu akasajili tena karibu timu nzimaPep alisajili wachezaji 11 alipoikuta Man City ilishafika nusu fainali UEFA lkn alifeli kwa kipa aliyemsajili badala ya Joe Hart kutimuliwa kwenda Italy ndipo Pep akasajili kipa no 1 wa Man City ss hv, Je Pep si kocha bora hadi asajili kipa pazia![]()
Dah apa naona Chelsea hatuna pa kuponea. Bora tukomae na Europa tu..Race for Top 4, Next EPL fixtures
Man Utd vs Chelsea
Huddersfield vs Man Utd
Man Utd vs Cardiff
Man Utd vs Chelsea
Chelsea vs Watford
Leicester vs Chelsea
Leicester vs Arsenal
Arsenal vs Brighton
Burnley vs Arsenal
Mkuu Ollachuga hili genge la wauza korosho nalo linakutisha nenda kapigie palepale OT wananini hawa vipofuDah apa naona Chelsea hatuna pa kuponea. Bora tukomae na Europa tu..
Dah apa naona Chelsea hatuna pa kuponea. Bora tukomae na Europa tu..
Dah apa naona Chelsea hatuna pa kuponea. Bora tukomae na Europa tu..