GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
It pain to both sides ,man u and liverpoolMnajifariji!!!
Ukweli ni kuwa uwezo wa Man United kama team ni mdogo sana, kiwango kibovu, wachezaji hawajitumi (labda ndo uwezo mdogo wenyewe) na team inacheza bila mipango.
Poor Olesendeka, Poor Manyau.
Usihofu, sisi tunajua timu yeti kwa sasa mbovu. TushazoeaDuh nimeshabikia man u kwa dakika 90 nimeteseka sana sasa sijui washabik wa kudumu wa man u wanaishije
Lingard ni mjinga kupindukiaaa
Ulitaka tuwe na uwezo mkubwa ili mchukue kombe amaMnajifariji!!!
Ukweli ni kuwa uwezo wa Man United kama team ni mdogo sana, kiwango kibovu, wachezaji hawajitumi (labda ndo uwezo mdogo wenyewe) na team inacheza bila mipango.
Poor Olesendeka, Poor Manyau.
Mngepigwa 3 kabisa,mbili city wamewahurumia tuLeo shangwe tu kabaneni pumbu kwa leicester city huko
Hahahaaha fixture yake imegeuka shubiri.. Ngumu kumeza ....hahahahaLeo pia kashakazwa 3 Bila amepotea kabisa kwenye thread yake
Kabane pumbu kwa leicester hukoMngepigwa 3 kabisa,mbili city wamewahurumia tu
Kazi kwisha
Hahahahahaha huu msiba wa hizi Mbuzi AssAnal itabidi uhusike mkuu ..ila huu wa manyumbu nadhani na wewe utakugusa sana ..hivyo sina budi kukupa pole mapema tu ..Ollachuga
Aaroon
Southern Highland
Ile kamati yetu ya Mazishi msibani leo mnatusika wenyewe Mimi leo naisapoti timu ya kwenye Damu Sitahusika na mazishi yenu lakini kama ni mazishi ya Manchester city hapo tuko wote kama ni ya Manchester United HAPANA.
Hahahaha uligeuka Manure gafla...Mashabiki mbumbumbu na Mashabiki maandazi wanaotaka leo tufungwe nawaonea huruma sana hawata amini tutakachokifanya OT leo
Glory Manchester United
Tunachofanya ni kupalilia nafasi ya Tatu (3) kwa Tottenham na kufanya nafasi ya NNE (4) kuwa kinyanganyiro kama ubingwa vile. Chelsea, Arsenal na Man Utd for 4th place struggle.Man u dua zote kwenu leo,arse8 washapoteza kama nawaona vile mnavyoingia top 4 mashetani,go go devils
Kwaiyo OT ni sehemu murua sana kwa kuchukua point sio..Katika game 7 zilizopita dhidi ya City hapo OT
Tumeshinda 1
Draw 1
Tumefungwa 5
Recently PSG & Barca wametufungia OT
nyie futuhi ndo level zenuTunachofanya ni kupalilia nafasi ya Tatu (3) kwa Tottenham na kufanya nafasi ya NNE (4) kuwa kinyanganyiro kama ubingwa vile. Chelsea, Arsenal na Man Utd for 4th place struggle.
Hahahahaha ndo uwezo ulipoishia.1 shot on target.! Kweli Man U tuko hoi.
Kwahiyo Liverpool alitegemea apatie ubingwa kwa mgongo wa MU? ThubutiLiverpool alishaukosa ubingwa toka alivyoshindwa kumfunga City
Duh nimeshabikia man u kwa dakika 90 nimeteseka sana sasa sijui washabik wa kudumu wa man u wanaishije
Lingard ni mjinga kupindukiaaa