Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Liverpool alishaukosa ubingwa toka alivyoshindwa kumfunga City
Hapa naweza kosahihisha kidogo
Ubingwa wa liver umeingia doa kweny droo mbili alizopata mfululizo kwa Leicester na Everton.
Game ya City si kwa percent hiyo
Kumbuka vizuri
 
Wakishaliwa na Mbwa Mwitu wanasubiriwa na wale mbweha wenye njaa
 
Tuna front three butu haijawahi kupata kutokea..only one shot on target..imagine that
 
Matokeo yamewauma sn liver kuliko wenye timu.Na bado liver ana game na wahuni Wolves tena uwanjan Kwa Wolves hahahahaaa.


Bora man city abebe ila si hawa liver
 
Kama wewe ni livafool inakuhusu hii
IMG-20190425-WA0002.jpeg
 
Back
Top Bottom