Kuna maboya Plastic Fans kweli,
Yani Man Utd ipoteze fanbase yake kwa kutobeba makombe ndani ya Miaka 10 or something?
Kajifunzeni soka Tena
Liverpool alikaa karibu 30 yrs na bado ana fans
Tangu premier league iwe premier league hajawahi beba na bado ana fans (wazee wa this is our year)kila mwaka
(YNWA-You Will Never Win Anything)
Mnajua mara ya mwisho Man Utd kubeba ndoo ilikua lini (Moyes anasilverware,VanGaal anandoo, Mourinho na uchizi wake nae katupa ndoo)
So mnaongelea Nini?
Na takwimu ni Man Utd ana fanbase ya more than 600m people around the world ambao actively wanafollow Man Utd everyday.
Mnazungumzia mabanda umiza gani ambayo hayajazi Mechi za Man Utd (seriously?)
Msiseme eti Brand na mapato yanashuka coz hamuoni jezi eti za Man Utd huko kwenye Mabanda umiza,huko jezi ziwepo zisiwepo (I Know zipo mie pia za msimu huu ninazo) hizo Ni za kkoo hazina impacts yeyote kwa Man Utd, coz sio official zile za more than £99 Original from Man Utd Stores hizo Bado zinakimbiza sana kaangalie tu takwimu za mauzo ya Jezi za Pogba, Ibrahimovic,nk
Ndio maana Ed Woodward anawacheki afu anasema Hiiiii