City wanajaribu kujenga empire which they cant. Na ndio maana wanaspend alot of money to do so. Manutd, Arsenal and liverpool hawakutumia mapesa kujenga empire wala barca. Siku izi kuna hadi fans wa psg lakini who cares?Sorry for jumping in your arguments, kuna kitu nikieleze pia kuhusu fanbase.
Man Utd amekuwa kwenye kilele cha mafanikio for almost 2.5 decades (almost 25 years), fanbase aliyoitengeneza kwa kipindi hicho huwezi kuifuta ndani ya miaka 10.
City ndo kwanza wameanza kupata washabiki, leo hii mtaani (huku Tanzania) unaweza atleast kuona watu kadhaa wamevaa jezi ya City. Ila unaweza kumaliza wiki hujaiona ya Man Utd.
Na new age wanaoanza kushabikia mpira na kuchagua timu (10 - 20 years of age) wakipewa 2 options kati ya Utd na City under no influence, 80% wataichagua City.
Na hiyo fanbase miaka kadhaa ijayo na wao watakuwa wengi na imagine some thing like other 10 years hawa watakuwa ni purchasers, City will be having a good fanbase by then.
Na kama Guardiola anaendelea kuwepo na hao scouts waliopo, City inatengeneza identity moja ya hatari sana na ya kuvutia.
Imagine, City anacheza mchezo ambao neutrals au hata fans wa timu zingine tunainjoi kuangalia, fanbase inaanza namna hiyo.
Nani anaikumbuka Arsenal ya 2003/04, 2004/05 hata ile ya 2005/06 iliyocheza final UEFA? Timu ilikuwa inavutia kiasi kwamba hata wapinzani tinainjoi kuangalia games zao.
Kuhusu endorsement: viewerships zina-determine sana ukubwa wa deal, na City kwa EPL ni one of the most watched teams, leo hii Man Utd wanakimbia kuangalia game zao.
Miaka michache nyuma ilikuwa Man Utd akicheza hata na timu gani, mabanda ya mpira yalikuwa lazima yaoneshe game ya Utd na wanajaza, leo hii kaangalie uone wanaingia wangapi.
Huyo mtoto aliepo Nanjinji ata kama ndo kwanza anaanxa kufatilia mpira, huo mpira anatizama akiwa peke ake? Umesahau kuwa kuna mtu anaweza kumu influence huyo mtoto? Mfano anaangalia mpira na babake na kutwa anamuona anatizama manutd unafikiri mtoto atapenda man city au liverpool? Watu wengi uko mashambani utawakuta manutd. Uisahau power of influence kwenye decision making. Mfano wako simple naweza kusema mfu. Mpaka sasa ni grown ups ndio tunatambua kiwa mancity anatumia helA sana na amekuwa mshindani.Mkuu umeongea umeongea kitu cha msingi hususani kwenye suala PERFOMANCE YA MUDA MREFU INAVYOWEZA KUONGEZA AMA KUPUNGUZA WASHABIKI
Kuna watu wanakunja shingo kwamba Man Utd haiwezi kupoteza washabiki sababu ya brand...... Mfano mtoto/kijana yupo nanjilinji huko, anaanza kufuatilia mpira wa Ulaya sasa hivi, aipende United sababu ya brand ili iweje
Hawafahamu kipindi cha mwisho mwisho mwa zama za Jose pale OT viti vikianza kuwa kwenye wazi kwenye baadhi ya mechi, wakati United inasifika kujaza watu 75,000 iwe Man anacheza na Barnsley au Liverpool ...... Sasa hii ya uwanja kupwaya wanadhani imesababishwa na nini? POOR PERFOMANCE
Hawa wanaosema brand haitashuka regardless ya performance na matokeo uwanjani hawajui hata baadhi ya mashabiki humu waliacha kuangalia game za United kwenye TV kipindi cha mwishoni zama za Jose?
Hawa watu hawajui kuwa kesho kuna baadhi ya watu humu wataacha kucheki game ya United kwa kuwa wanahisi United hawata perform. Ni vipi, performance ikiwa ni mbovu kwa muda mrefu, say miaka 5 au 10 ijayo, je United hatapoteza mashabiki?
Mwisho labda niseme, kiujumla kwa sasa bado mtaani jezi za United ni nyingi kuliko za City, ila zimepungua na za City zimeanza kuonekana. Je kwa muda mrefu hali hii ikiendekea hatuoni kwamba United power itafifia?
Wewe jamaa unanifurahishaga sana, halafu humkubali rashford kinoma, hahaaa
Ulishawahi kuweka avatar umempiga X,
City wanajaribu kujenga empire which they cant. Na ndio maana wanaspend alot of money to do so. Manutd, Arsenal and liverpool hawakutumia mapesa kujenga empire wala barca. Siku izi kuna hadi fans wa psg lakini who cares?
Lazima ujue kuwa kuna watu wanapend mpira, wanaenda kutizama match za city kwa sababu tu city amekuwa mshindano sio laba labda ni fans wa mancity. Hata ikicheza barca na madrid kuna watu ambao ni neutral wanatizama lakini sio kwamba ni fans.
Halafu kuna glory hunters hawa ndio tunawaita plastic fans, ambao ndio wengi man city. Na hao unaowaona huko vibandani ukafikiri kuwa ni city fans wanaenda kutizama mpira kama mpira tu.
Na aliekudanya kuwa eti vijana wa saivi ukimpa option ya kuchagua timu ya kupendelea atachagua citeh ni nani? Manutd is a football brand na ni business brand. Ukitoa options hizo ndani ya akili ya kila mmoja wao kuna Real madrid, Barca, Manutd na Arsenal tu. City is not in the mind of people. And by the way Guard
Man u wamesema kesho wanafungwaUnited ni team kubwa sana duniani, imejijengea heshima kubwa katika ulimwengu wa soka na kuvuta fans wengi.
Trust me! City bado ni underdog kwenu, Hope hiyo kesho lazima city apewe kichapo cha mbwa mwizi mpaka achakae. #YNWA
United ni team kubwa sana duniani, imejijengea heshima kubwa katika ulimwengu wa soka na kuvuta fans wengi.
Trust me! City bado ni underdog kwenu, Hope hiyo kesho lazima city apewe kichapo cha mbwa mwizi mpaka achakae. #YNWA
You really dont know the power of branding!When it comes to calling names other fans am not into it.
We are so different on how we choose teams to root for, if you think a kid born 2010+ will decide to root for Man Utd just for brand things you are totally wrong man.
Mazoea yanajenga mapenzi, imagine unaweza kujikuta unakaa mazingira fulani na mwanamke, at first unamwona kawaida, and then baada ya kukaa naye muda kuongea naye unapata kutengeneza interests. Hata kwa mpira ni same, inaanza na vile mtu unaiangalia timu on regular basis na kila mara inashinda kwa kuonesha mchezo mzuri.
Then unajikuta umekuwa fan (hii ni kwa neutrals), we all start like plastic fans, and then we develop into real fans unless you picked your team basing on other factors that are not related with winning games.
City are building an empire, if they manage to stay with Pep for a decade, they will accomplish their goal. Pep ameleta identity, we can now see City have their way of playing which is so consistent.
Mungu atupe uhai, 10 years from now City will have its share of fans.
Chelsea were just another team before 2003, now they have fans, and City will do get them.
You really dont know the power of branding!
Uliza kwanini EPL inatizamw sana na inamashabiki wengi sana kuliko Laliga wakati La liga teams ni vinara champions league? EPL ndio inabest deals kuliko La liga wakati timu za EPL zinateswa EPL?
Ivi kati ya Real madrid na MUFC nani ana more success? Na kwanini United were given the biggest deal by adidas kuliko kupewa madrid?
I am not wrong when a kid born in 2000 choose Manutd, because its all over everywhere compare to mancity! A kid ataona eeh wengi wanasupport manutd na mm nasupport manutd basi. Kwanini achague mancity basi na sio psg ambao washachukua kombex la farmers league sijui mara ngap mfululizo mana hana mpinxani ata mmoja kule!
Man city are trying to build an empire but that will not happen in this era. Clubs have more money now and they can quickly turn things around, it just needs a right decision which manutd fans are fighting for. Wengi kama sio wote wanataka ed afukuzwe na apatikane mtu anaejua football in and out ndio achukue nafasi ile. City will be another chelsea tu. Glory for few years then struggles.
To build an empire you need to win back to back titles more than 3 to gain recognition. ou need to kill competition for a few years ndio ujilikane kuwa dominant force atleast. Sio unachukua kombe kwa goal difference au 2 points!
Manutd uko nyuma aliua kabisa title contenders. Alikiwa anamuacha mtu wa pili wa mapoint mengi sana, akichukua makonbe mfululizo frequently. Lakini in this age things are different, sio rahis kujenga empire tena kila siku zikienda mbele. Na hasa kuwa Manutd is now also breaking the bank to find the solution. Mpaka sasa ivi ligi ya uingereza imekuwa unpredicatble sio kama zamani.
In 10 years usemazo city cant build an empire. Tuombe uhai na hii weka kama kumbukumbu uje unisute mkuu.
Binafsi nanunua jezi kila msimu.King Ngwaba is talking about future, and you are talking history.
Fanya trend analysis ya Man Utd vs Man Utd kwa 10 years tenure ie 2001-2010, 2011-2020, 2021-2030.
Man Utd jezi atakazouza kwa average player kipindi hiki hazifikii idadi ya jezi ambazo aliuza kwa mchezaji wa same caliber ten years back.
Tuchukue mfano simple: mara ya mwisho umenunua jezi ya Man Utd lini?
Interval ya ununuaji wa jezi mtu mmoja mmoja imepungua sana, kuna watu kila msimu walikuwa wananunua jezi au atleast kila 2 seasons, leo hii washabiki hao utakuta hawana jezi za Chevrolet.
Na jezi nyingi tunazoziona mtaani ni AON, you can challenge me kwenye hili.
Nakukatalia.When it comes to calling names other fans am not into it.
We are so different on how we choose teams to root for, if you think a kid born 2010+ will decide to root for Man Utd just for brand things you are totally wrong man.
Mazoea yanajenga mapenzi, imagine unaweza kujikuta unakaa mazingira fulani na mwanamke, at first unamwona kawaida, and then baada ya kukaa naye muda kuongea naye unapata kutengeneza interests. Hata kwa mpira ni same, inaanza na vile mtu unaiangalia timu on regular basis na kila mara inashinda kwa kuonesha mchezo mzuri.
Then unajikuta umekuwa fan (hii ni kwa neutrals), we all start like plastic fans, and then we develop into real fans unless you picked your team basing on other factors that are not related with winning games.
City are building an empire, if they manage to stay with Pep for a decade, they will accomplish their goal. Pep ameleta identity, we can now see City have their way of playing which is so consistent.
Mungu atupe uhai, 10 years from now City will have its share of fans.
Chelsea were just another team before 2003, now they have fans, and City will do get them.
Nakukatalia.
Ukichukua mashabiki wapya 100 wanaotafuta timu za kushabikia more than 40% watashabikia United. City will likely get less than 5%.
Tatizo jamaa anafikiri fan base inajengwa kwa miaka 7 au 10, Man U wana over 180 milions fans world wide ndio club inayoongoza kwa washabiki wengi, Hawa washabiki wameletwa na Mafanikio ya UTD uwanjani for over 30 years, kpindi hicho City haijawahi shinda hata taji moja la EPL...... Ila leo hii City wanafanya vizuri na Kama wakiendelea hivi inakuja kuwa moja ya timu yenye washabiki wengi fana pala epl....Sorry for jumping in your arguments, kuna kitu nikieleze pia kuhusu fanbase.
Man Utd amekuwa kwenye kilele cha mafanikio for almost 2.5 decades (almost 25 years), fanbase aliyoitengeneza kwa kipindi hicho huwezi kuifuta ndani ya miaka 10.
City ndo kwanza wameanza kupata washabiki, leo hii mtaani (huku Tanzania) unaweza atleast kuona watu kadhaa wamevaa jezi ya City. Ila unaweza kumaliza wiki hujaiona ya Man Utd.
Na new age wanaoanza kushabikia mpira na kuchagua timu (10 - 20 years of age) wakipewa 2 options kati ya Utd na City under no influence, 80% wataichagua City.
Na hiyo fanbase miaka kadhaa ijayo na wao watakuwa wengi na imagine some thing like other 10 years hawa watakuwa ni purchasers, City will be having a good fanbase by then.
Na kama Guardiola anaendelea kuwepo na hao scouts waliopo, City inatengeneza identity moja ya hatari sana na ya kuvutia.
Imagine, City anacheza mchezo ambao neutrals au hata fans wa timu zingine tunainjoi kuangalia, fanbase inaanza namna hiyo.
Nani anaikumbuka Arsenal ya 2003/04, 2004/05 hata ile ya 2005/06 iliyocheza final UEFA? Timu ilikuwa inavutia kiasi kwamba hata wapinzani tinainjoi kuangalia games zao.
Kuhusu endorsement: viewerships zina-determine sana ukubwa wa deal, na City kwa EPL ni one of the most watched teams, leo hii Man Utd wanakimbia kuangalia game zao.
Miaka michache nyuma ilikuwa Man Utd akicheza hata na timu gani, mabanda ya mpira yalikuwa lazima yaoneshe game ya Utd na wanajaza, leo hii kaangalie uone wanaingia wangapi.
Hao city watakua kama chelsea tu baada ya iyo miaka kumiYou really dont know the power of branding!
Uliza kwanini EPL inatizamw sana na inamashabiki wengi sana kuliko Laliga wakati La liga teams ni vinara champions league? EPL ndio inabest deals kuliko La liga wakati timu za EPL zinateswa EPL?
Ivi kati ya Real madrid na MUFC nani ana more success? Na kwanini United were given the biggest deal by adidas kuliko kupewa madrid?
I am not wrong when a kid born in 2000 choose Manutd, because its all over everywhere compare to mancity! A kid ataona eeh wengi wanasupport manutd na mm nasupport manutd basi. Kwanini achague mancity basi na sio psg ambao washachukua kombex la farmers league sijui mara ngap mfululizo mana hana mpinxani ata mmoja kule!
Man city are trying to build an empire but that will not happen in this era. Clubs have more money now and they can quickly turn things around, it just needs a right decision which manutd fans are fighting for. Wengi kama sio wote wanataka ed afukuzwe na apatikane mtu anaejua football in and out ndio achukue nafasi ile. City will be another chelsea tu. Glory for few years then struggles.
To build an empire you need to win back to back titles more than 3 to gain recognition. ou need to kill competition for a few years ndio ujilikane kuwa dominant force atleast. Sio unachukua kombe kwa goal difference au 2 points!
Manutd uko nyuma aliua kabisa title contenders. Alikiwa anamuacha mtu wa pili wa mapoint mengi sana, akichukua makonbe mfululizo frequently. Lakini in this age things are different, sio rahis kujenga empire tena kila siku zikienda mbele. Na hasa kuwa Manutd is now also breaking the bank to find the solution. Mpaka sasa ivi ligi ya uingereza imekuwa unpredicatble sio kama zamani.
In 10 years usemazo city cant build an empire. Tuombe uhai na hii weka kama kumbukumbu uje unisute mkuu.
Aiseeeeeeee we jamaa sijui ungala vipi, hizo unazo ziita brana za Barca, Madrid na Utd zimejengwa na Mafanikio uwanjani kwa miaka mingi........City wanajaribu kujenga empire which they cant. Na ndio maana wanaspend alot of money to do so. Manutd, Arsenal and liverpool hawakutumia mapesa kujenga empire wala barca. Siku izi kuna hadi fans wa psg lakini who cares?
Lazima ujue kuwa kuna watu wanapend mpira, wanaenda kutizama match za city kwa sababu tu city amekuwa mshindano sio laba labda ni fans wa mancity. Hata ikicheza barca na madrid kuna watu ambao ni neutral wanatizama lakini sio kwamba ni fans.
Halafu kuna glory hunters hawa ndio tunawaita plastic fans, ambao ndio wengi man city. Na hao unaowaona huko vibandani ukafikiri kuwa ni city fans wanaenda kutizama mpira kama mpira tu.
Na aliekudanya kuwa eti vijana wa saivi ukimpa option ya kuchagua timu ya kupendelea atachagua citeh ni nani? Manutd is a football brand na ni business brand. Ukitoa options hizo ndani ya akili ya kila mmoja wao kuna Real madrid, Barca, Manutd na Arsenal tu. City is not in the mind of people. And by the way Guard
Pia mkuu mtoto anaye Anza kuangilia mpira sahivi anatukuta fans wa utd hatuna hata Raha, wengine wakiwa wamekata hata tamaa ya kuangalia gemu unafikiri mtoto anatavutiwa kushabikia timu ambayo baba ake inamsonononesha kila siku pia hata mapenzi ya kuifatilia siyo makubwa ki vile na mbaya zaidi akajua sababu Nini (timu haishindi) kwa antukuwa anamshangaa baba yake kwanini haamii timu zinazoshinda ambozo yeye ndo logically atachagua Kati ya hizoWewe na mimi kuna mahali tunapishana perspectives, nashangaa jinsi unavyoweza kudhani eti mtoto atachagua brand over winning team!
Hapa nazungumzia mtoto ambaye atakuwa free kuchagua team, achana na wale wanaochagua kwa influence.
Nakubaliana na wewe kwamba hiki ni kipindi kigumu kwa sababu team nyingi zina financial muscles kiasi kwamba ni ngumu kukaa juu kwa kipindi kirefu.
Ndiyo maana kwa point hiyo nikasema City have that chance as long as hawampotezi Pep, Pep is a proved winner na culture creator! He has given them an identity.
Empires fall, for those of us who saw Inter Millan, AC Millan and Juventus at the top, will agree kwamba empire falls. Leo hii Ac Millan vs Inter Millan ni derby ambayo nina more than 10 years bila ukiangalia wakati ilikuwa ni never miss.
Hizo Real na Barca ni matter of time nazo zitakuwa just some other teams UEFA, BTW barca has 5 UEFAs, 4 of those ni za kuanzia 2006 - 2015 (9 years) before that Barca was just like Chelsea when it comes to UEFA.
Kwa hiyo naamini City can do it in a decade to come.
Mimi ni Liverpool fan, lakini I would not force any person to pick Liverpool, let alone my kids. Let them do their own picks basing on their interests.
Official replica za £90??Binafsi nanunua jezi kila msimu.