Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Mkuu nipo nimekuwa msomaji nawaachaia vijana maanake mpira wa kisasa nahisi siuelewi. Mechi hii wala sikujisumbua kuangalia kwasababu nilikuwa najua nini kitatokea. Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kutegemea matokeo tofauti na kilichotokea.
Hakuna kitu pale Barca kaokota embe dodo kwenye mchongoma, maana laiti kama Man Utd ingekuwa na washambuliaji wenye njaa kama Liverpool au Man City Barca ni nyeupe kama Simba tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hawani wale washabiki ambao hawakutaka kuukubali ukweli toka mwanzoni. Mou aliwahi kusema kuwa united haina wachezaji world class.. watu qakamwaga povu. Jana imejidhihirisha.Mashabik wa manyua wametulia kama maj mtungini. Wangeshinda jana tusingehema mzee yaan wangeisifia na kumbe mmasai wao olegwanan
Sent using Jamii Forums mobile app
Downfall begins. Nimeona hata fununu za kusajili wachezaji. Anataka kusajil wachezaji wakiingereza.
Ni kigezo gani kilitumika kumuachia Blind na kumuacha Young ndani ya MUFC?
Ndio maajabu ya Jones ma Smalling kupewa mikataba haraka huku Herrera akiwa hajui hatma yake.
Ole ana imani kubwa sana na wachezaji wa kiingereza,kushindwa kwake kutaanzia hapo.
Tatizo si kocha. Tatizo ninkocha kakabidhiwa timu mbovu.Huyu ole mlikosea sana kumpa mkataba
Ni kocha wa kufundisha timu za ndondo na si timu kubwa kama man u
Tulimwambia ukianza utazoea na kashazoea kwel
13SEPTEMBER
I thought Jose was the one hinder United perfomanceDakika 15 za mwanzo tulijitahidi kosa kubwa ni washambuliaji butu wasiotumia nafasi vizuri.
mkuu umeongea bonge la pointHakuna kitu pale Barca kaokota embe dodo kwenye mchongoma, maana laiti kama Man Utd ingekuwa na washambuliaji wenye njaa kama Liverpool au Man City Barca ni nyeupe kama Simba tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hawa hawa tuliwasifia wakati wanazifunga Cardiff,Huddesfield na FulhamDakika 15 za mwanzo tulijitahidi kosa kubwa ni washambuliaji butu wasiotumia nafasi vizuri.
I thought Jose was the one hinder United perfomance
Waambie mkuu maana ni wepesi mno kusahauNdio hawa hawa tuliwasifia wakati wanazifunga Cardiff,Huddesfield na Fulham
hahha dahUtaratibu wa mazishi hapa upoje?? Mtasafirisha au mtazika kulekule??
Na mshamuaandaa mbuzi wa kafara(mchezaj wa kupewa lawama) katika huu msiba??
Sent using Jamii Forums mobile app
Barca anavyocheza na man u ni kama anavyocheza na levante na hivyo hivyo hawez cheza na Madridmkuu umeongea bonge la point
ukiangalia mechi zote 2 kama man utd ingekua orgnized kama Liverpool au man city bssi varca angetoka mapema kbsa
naiona nafasi ya Liverpool kwenda fainal if watampiga porto leo
Sent using Jamii Forums mobile app
He said finishing second with this team was one of his greatest managerial achievementHapana Jose ana mchango wake lakini Ole lazima asajili wachezaji wasiopungua 4 au 5.Mjadala wa Jose ni mpana na mkubwa sana nashukuru Mungu aliondolewa mapema.