Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,049
- 51,612
Ukweli ni kwamba Barca wametuzidi kila kitu mkuu.
Udhaifu wa Ole ni kuviamini sana hivyo vitoto.
Ha ha ha Masimo taibiHahahha taibi >>> De Gea
Sent from my iPhone using JamiiForums
Waende wapi wakati hao ni wazaliwa na wameshaongezewa mikataba
Ww unaota uchiKivipi? Kama, kama, kama
Kama Scot angetulia tungekuwa na goli, kama Rashford angekuwa na utulivu wa Messi tungekuwa na goli mbili, kama..... Kama...kama....kama...
Kwenye mpira hamna hizo mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanza upya si ujinga. Ujeruman wamewahi kuvunja timu wakaanza upya.
Man u karibia kikosi chote ni average. Isipokuwa pogba na degea. The rest ni wa kuondoshwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba na degea wote hamna kituKuanza upya si ujinga. Ujeruman wamewahi kuvunja timu wakaanza upya.
Man u karibia kikosi chote ni average. Isipokuwa pogba na degea. The rest ni wa kuondoshwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamechambua vipaji tupu nyie mna mizigo ya mavi kama lukakuHivi inakuwaje Ajax wanacheza mpira mzuri kuliko Man U!?
Man U wakifungwa hua wanageuka kua wachambuzi.
Matokeo niliyotaka mimi kwa barca yanaenda kwa ajax duuhAjax kuchafua hali ya hewa wakuu juve 1- 2ajax
Lawama bure tu kwa Jose Mourinho kumbe timu yenyewe ndiyo kimeo tupu
Na ole ni shenzi pia ana viimani vya Ferguson vya kukumbatia vichezaji vya kiingereza visivyo na vipaji vikubwa. Ndio mana hadi sasa kila siku unasikia main target za man u kwenye dirisha kuu la usajili ni Sancho,Rice na Wan-Bisaka na hao ndio tuwategemee waje wajenge timu ya kiushindani Fuc...!Udhaifu hauko kwa ole bali timu nzima.
Waingereza tabia ya kuwasifia wachezaji ambao ni average.. akina smalling.. akina rashford na wenzie.
Hawatokaa wafike mahali.
Ed woodward ubahil ubahil ibahil.. endelea kuleta uchaga kwenye timu iendeleee kufa... uliambiwa usajili wachezaji wakueleweka.. umesajili akina lukaku.. matokeo yake ndio haya.
Time to swallow your pride and take the pill man
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdau sie wabovu sawa ila aseno ni wabovu zaidi yetuSmalling akajinadi "Kuna kitu nimekigundua kwa Messi, nimeshapata dawa yake"
Gem inaanza.
Barca wanaoneshwa watatumia 4-3-3.
Mara Man U wanaoneshwa watatumia 4-3-3 pia.
Nikasema "Hawa mbuzi hawaijui Barca"
Gem ikaanza kwa mkwara.
Mambuzi yanajifanya yanashambulia.
Ole Sendeka akaoneshwa anajichekesha nje.
Vyuma vilivyoanza kuingia nikashangaa kugundua kumbe unaweza kupaki basi huku unatumia 4-3-3.
Nafurahi ile penati ilikataliwa ingekubaliwa mbuzi wangeishikilia kama sababu ya kufungwa.
Naomba tukumbuke kua ball possession Barca ni 67% na Man ni 37%. Mpaka dakika ya 75 Barca walikua wamepiga pasi 441 na Man u 224.
Goli la pili alilofungwa De Gea angepiga mchezaji mwingine yeyote yule angedaka. Na sifa angepewa kama kawaida.
Tatizo aliyepiga ni MESSI.
Piga Mbuzi hawa