Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Kwani aggregate ni ngapi ngapi?.....
5- 3.... Hawa manure wametolewa tena Europe, twice in one year, aaarrrgghhh..
Kwani aggregate ni ngapi ngapi?.....
5-3!waingereza na mashabiki wote wa timu za uingereza tumefungwa
....Rooney, fantastic goal!....haya, tokeni machimbo nyieee...
tunafia hukuhuku ktk machimbo!hatoki mtu!
...correction mkuu, Vibabu vya darajani bado vinajikongoja....
english teams wakifikia level ya spanish teams watakuwa wanazifunga sana teams za spain!rooney shot 1 goli 1!
Hahaha...haya jiteteeni sasa, mpira umeisha....
hata intertoto cup imewashinda, njooni tusaidiane EPL....
tutawakamua Man6 angalau muendelee kukang'ang'ania hako ka pwenti...
5-3!waingereza na mashabiki wote wa timu za uingereza tumefungwa
Kwani wao watakuwa wamesimama wanawangoja muwafikie?
Dah!? Leo naona mnaongea yote.
Kimyaaa!
Tafadhali sana. Ni Man Utd ndo kafungwa na timu inayoshika nafasi ya 7 La Liga - AIBU
View attachment 49439
View attachment 49440
View attachment 49441
Baada ya kichapo, Fergie admitted kuwa Bilbao ni best team in Europe na akashukuru kwa kutofungwa magoli mengi zaidi!!
poleni sana mkuu!Asante kwa hizi picha nzuri mkuu naona unatujali sana mashabiki wa Man U..
poleni sana mkuu!