Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio. Tena kwa 100%

Kwako watakuwa mabingwa lakini sio kwetu,naamini tutaenda kucheza na City tukiwa tuko juu yao kwa point zaidi ya 3,kumbuka bado wana game na Chelsea na Arsenal.Kama umegundua City wakicheza bila ya Kompany wanachemsha
 
Du wenyeji mmelikimbia jukwaa lenu? Naona Bilbao mambo siyo mambo. Napita tu kuwapa pole!
 
Danny-Welbeck-and-James-Morrison-Manchester-U_2731607.jpg

Billy blanks leo yukwapi?
 
...kibelaaaaaaa.....yaani champions league mtolewe, na hii Intertoto cup pia mtolewe?.
msimu mmoja mnatolewa makombe mawili ya UEFA? ...hebu jikazeni bana....
 
...khaaaa? Yaani mnanyanyasika namna hii leo?....
Na vijezi za buluu...tusingizie ni chelsea au?
 
.....leo Rio na Carrick watapata hairdryer yao, tuone Pogba na Smalling watasaidiaje team nao...
duhhh, aibu hii...double subs .....he he he.....6- sasa...la pili hilooooo....
 
....Rooney, fantastic goal!....haya, tokeni machimbo nyieee...
 
english teams wakifikia level ya spanish teams watakuwa wanazifunga sana teams za spain!rooney shot 1 goli 1!
 
Back
Top Bottom