Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kikosi dhaifu si mngeenda kushiriki ligi daraja la kwanza labda mtakutana na vikosi dhaifu vingine,EPL sio ya kuja na vikosi dhaifu.

Leo Mbwamwitu anakutana na Shetani unategemea atapona kweli??

Mkuu unajua kilichotokea kuwa wachezaji waliuzwa na wengine wakawa majeruhi lakini unajifanya mbishi. Sasa wewe una full kikosi. City akapiga 6 - 1, full kikosi unanyanyaswa na Bilbao. Utasemaje hapo?

Naomba ujikumbushe walichokufanya Wolves msimu uliopita, nyakati kama hizi.
 
Mimi nakubali kuna kipindi timu inazidiwa kiufundi kama kwenye case ya Bilbao,Man City na Wolves walipania game lakini mwisho wa siku bingwa ni bingwa tu.
Hoja ya kwamba mlikuwa na kikosi dhaifu haijasimama kwa sababu EPL haina haina nafasi ya kushinda kombe kwa viti maalumu either you are good or you are gone.
Mkuu historia huwa haidanganyi last time i checked mlipoteza Carling kwa timu inayocheza daraja la kwanza sasa hivi.
 
KAKA kufungwa ni kufungwa hamna visingizio sisi tumefungwa na City,Basel,Newcastle,Bilbao,Blackburn na hatujatoa kisingizio.Mlipofungwa na Swansea,Blackburn,Milan mlikuwa na kikosi dhaifu?Ukizungumzia majeruhi sidhani kama kuna timu imekuwa na majeruhi kuliko ManU msimu huu
 
Wewe majeruhi yamekuja kati ya msimu. Sisi tumeanza nayo! Tumecheza zaidi ya nusu msimu bila full back. Kuhusu kufungwa na Blackburn ndo ilikua kipindi hicho wakati msimu unaanza! Huwezi kuwa na form nzuri bila 1st team regulars. Milan na Swansea ni ishu tofauti na tulifungwa kihalali, no excuse.

Nyinyi hamtaki tu kutoa kisingizio, lakini kikosi kimetepeta. Kuanzia kati mpaka nyuma. Kula mbele hamna shaka. The credit you get, is the fighting spirit that the red devils have. Thats what keeps you going. Kubali kataa!
 
Mimi nakubali kuna kipindi timu inazidiwa kiufundi kama kwenye case ya Bilbao,Man City na Wolves walipania game lakini mwisho wa siku bingwa ni bingwa tu.
Hoja ya kwamba mlikuwa na kikosi dhaifu haijasimama kwa sababu EPL haina haina nafasi ya kushinda kombe kwa viti maalumu either you are good or you are gone.
Mkuu historia huwa haidanganyi last time i checked mlipoteza Carling kwa timu inayocheza daraja la kwanza sasa hivi.

Ulilosema ni kweli. Wenger alifanya makosa akarely kwa watoto tu. Lakini baada ya kuona kuna haja ya experienced players na kuspend pesa ndo unaona kaja Arteta, kaja Per na Benayoun. Pia kamuongeza Rosicky mkataba. The team seems balanced now bado kuongeza depth kwenye bench. You can see the run and the spirit that has developed now ni tofauti kabisa na misimu iliyopita!
 
Leo tunapanua uwigo wa point kati yetu na Man City 4points.
 
je,una sherehe au tukio la aina yoyote na unahitaji huduma za uhakika za mc na music?wasiliana na Mc Tilly Chizenga kwa pm ufurahie na kujivunia uamuzi wako!
 
asante wadhamini wetu,kipindi cha pili kimeanza!manchester united sasa wanapeleka mashambulizi upande wa kulia wa tv yangu!
 
Back
Top Bottom