Arsenal ana fixtures za Toffees, Watford, Wolves na Burnley ugenini
Arsenal ana fomu nzuri sana nyumbani, lakini ugeni amekuwa tia maji tia maji especially kwa hizo timu nilizozitaja akiwa ugenini atapata tabu sana. Lakini kiujumla timu ya Arsenal haijawahi kuaminika.
Chelsea ana fixtures za Man na Liverpool away, hapo sijataja mechi zake dhidi ya mid "tablers" ambapo juzi tu dhidi ya mshuka daraja Cardiff umeona alivyomhenyesha
Spurs amebaki na Man City, lakini mechi nyingine alizobaki nazo sio ngumu sana. Lakini kumbuka huwa anafungika na timu ndogo pia, angalau Spurs ndio yupo pazuri
Kwahiyo top 3 race bado ipo open Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!! Mbona una mihemko sana mkuu? Kuwa mpole!!Huyu kocha kaenda tu ili aonekane mbele ya media yuko serius.....cha ajabu ni kua pamoja na kwenda kumshangaa mess mana ndicho kilichompeleka, kipigo anakula. Man U probability ya kupita ni 0.98%
Subiri suprise mkuu!! Hutaamini macho yako.Jtano hiyo ni mwendo wa kufunua
Mlisema hivi hivi kwa roma mwaka jana!!My fellow ManUtd followers/supporters , Binafsi naungana na wanaochambua kwa undani hasa suala na combination ya kikosi chetu ManU.
Jamani kiuhalisia naikumbuka kabisa Mechi ya Barcelona na ManU golini alikua Van De Saar .... Ilikuwa FEDHEHAA ya kwaka ni sawa na Ndanda wakacheza na Al Ahaly au Everton....kwa macho meupeeeeeee utaona utofauti (u ll see clearly the difference by only naked eyes -nasisitiza)
Na kwakweli kama kuna mshabiki au mtu mwenye mapenz ya dhati na Timu hii HAWEZI KUTANDIKA MKEKA KWA UHAKIKA KUWA MECHI IPO 50/50 NA MANU ATASHINDA ......HAYUPO....na kama yupo afanye kama anajikuna.....
Frankly speaking, have no guts to watch the Humiliation. I will wait for lose results.......
Simple comparison YOUNG, JONES,SMALLING, LUKAKU, MCTOMINAY,DALOT, PEREIRRA, BAILY,LINDEROFF, .....UNAACHA HAWA UNAMUUZA MIKITHARIAN,
Duu, haya Kwenda kukutana na kina MESSI, SUAREZ,COUTIHNO, DEMBELE, DUUUUUU HAYA NAISHIA HAPO YANGU MASIKIO
Sent using Jamii Forums mobile app
Top four ni vita kweli kweli.Pole kuhusu leo 😁
Ila tunashinda sisi 1-0
Top four ni vita kweli kweli.
Barca akifa, kwa jinsi mnavyojua kubwatuka mitandaoni tutahama.
Mechi ni Leo..?
Kama ni Leo,, ni mda gani..?
sasa kwanini Barca hua inafungwa tena na vitimu uchwara kabisi
[emoji16][emoji16] unasingizia aseee mamalaiHivi sisi tunabwatuka??
Huwajui liver wewe
[emoji16][emoji16] unasingizia aseee mamalai
kuna jamaa alilipa kiingilio ili angalie mpira kukaa tu kwenye kiti akauliza"leo anacheza nani na nani?"Mkuu inaelekea wewe na tamthilia damu damu.
ndo nini??Barça 2018/19
33W 11D 4L
Goals 121-45
CS 19
Goals Leo 43
Luis 23
Ous 14
Cou 10
Pique 7
Raki 5
Malcom 4
Alba Vidal Munir Denis 2 Rafa Leng Alena Semedo Sergi
Assist Leo 18
Alba 13
Luis 10
Raki 9
Ous 7
Sergi 6
Cou Vidal 5
Arthur Busq Pique Malcom 2
Umtiti Semedo Munir Puig
The main problem is United perfomance at the momentMkuu nadhani tunaendelea kufuatilia hizi mbio za top 4 kwa karibu
Kumdhamini Arsenane inahitaji moyo wa chuma
Sent using Jamii Forums mobile app