Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Subir mmalize nafas ya 6 ,ndio mtajadili vzrMnatujazia uzi wetu na vitu vya kipuuzi..
Tuacheni tujadili mambo yetu ya msingi..
Watu jana mmefungwa na Everton na hamna hata away cleansheat hata moja mnazidiwa hadi na Huddersfield iliyoshuka daraja,,mnapata wapi nguvu ya kutusumbua kwenye uzi wetu??
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba