Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

epl bhnaa wanakuacha kwanza kama sarri misigara kisha wanaanza yao wahuni


'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
December 5: Wolves 2-1 Chelsea
December 29: Spurs 1-3 Wolves
January 7: Wolves 2-1 Liverpool
March 16: Wolves 2-1 Man Utd
Tonight: Wolves 2-1 Man Utd

Nuno's at the wheel

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Sikuichukulia poa kabisa hii timu, kwa sababu nimeangalia mechi zote hizo hapo juu. Wanacheza sana mpira, wako vizuri
 
Mi naamini mtashinda.. Mwaminini ole
Nani anamtaka Pogba tena hapa??

Hii sio UNITED! Uza players wote tubaki na Rasford, De Gea na Show wengine woote hawana sifa za kucheza hapa.

Afu kuwa positive ni sawa ila kutetea ujinga ni upumbavu, OSG alisema haitaji beki!! Hivi ni kweli hatuhitaji beki??

Tunampenda ila ajue mafanikio ya team ndio furaha yetu si hizo posivities zake na aache unafiki, tunataka wachezaji wazuri UNITED.

Sent by anonymous user
 
Kile kiwanja cha Wolves kabla ya wachezaji kuingia uwanjani huwa mataa yote ya uwanjan huzimwa halafu inaonyeshwa picha ya mbweha pale aisee hua kanatisha kale ka mnyama

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Tumefungwa kimchezo tu jambo la kawaida kabisa.

Mbona Liverpool waliongoza ligi kwa point saba na bado sasa hivi wanalilia waongoze walau hata kwa point Moja tu ?

Tukumbuke wolves hawa hawa wametutoa FA haikuwa game rahisi kushinda though it was a must win game.
Game yetu iliyopita tulicheza vibaya mno japo tulishinda hivyo matokeo kama haya yalikuwa njiani kuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu Mnaigeria jana alikuwa mwiba kwa Barcelona anaitwa Samwel Chukwueza miaka 19
chukwueza.jpg
 
Thread yetu imefikisha replies 107k na views 3M.

Hakika MUFC ni timu kubwa na yenye mashabiki wengi. Ni hivi vitoto vinatuangusha tu.

Ni ukweli ulio wazi kwamba timu nyingine hazina mashabiki bali zinashabikiwa na wenye chuki na MUFC.
Hayo ndio mafanikio ya timu? Kweli nyumbu mmeishiwa hadi mnajivunia viewers? Timu ambayo ukitaka kuelezea mara ya mwisho kuchukua Epl unaanza na "Hapo zamani za kale" haaaaaaa
 
Back
Top Bottom