good96
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 519
- 539
Sikumbuki ni lini man u alimfunga wolvesTimu ya wareno(wolves) inawafunga inavotaka sasa mkikutana na Tp mazembe(barca) si mtapigwa hamsa.
Yani SAF alistaafu na timu yake sasaivi mmbebakia kua underdog . kweli maisha yako kasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni copy ya sporting cpWolves wametumwa EPL kuwachalenge top 6, wakicheza na wenzao wanafungika kirahisi lakini wakicheza na top 6 ni wabaya na washenzi hao














Mkuu una hamu ya kupewa mimba?- Mc Cane
-Mc Cane
- Mc Cane
Mchambuzi uchwara njoo na Article zako sasa zilizojaa Mchele tupu
Hahahahahahahahahahaha uyu mtu sidhani kama atakuwa salama kweli..
Tuhakikishe tu apata hata Namba za nduguze ili atujuze mahali alipo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nakuupizia, ila kwa sababu umenitolea kauli za kishoga ngoja nikuache tuBange zinawafanyaga watu wanajiona wachambuz kumbe empty set kbsa
"
Sisi watu wa arsenal tunaomba man city amkarange manyua ,pia game na Chelsea iishe sareWakuu poleni na matokea haya, bado niko na ninyi kuhakikisha kwamba haya matokeo yanawauma hivyo mcheze kufa kupona dhidi ya City.
Hata wafe wafufuke kwa city kichapo lazima kwa mpira gani wa kupata draw na chelsickWakuu poleni na matokea haya, bado niko na ninyi kuhakikisha kwamba haya matokeo yanawauma hivyo mcheze kufa kupona dhidi ya City.
Sisi watu wa arsenal tunaomba man city amkarange manyua ,pia game na Chelsea iishe sare
Kwa mpira ule wa Watford na ule wa Jana wa wolves ,unawadhamini vip man u?
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Pochettino? Una wazimu wewe.Aisee hii team inabidi iuze wachezaji wengi sana hawana kiwango....... ole sio manager ila ni caretaker tutajuta kumwacha Pochettino .
Sent from my iPhone using JamiiForums
YoungNani anamtaka Pogba tena hapa??
Hii sio UNITED! Uza players wote tubaki na Rasford, De Gea na Show wengine woote hawana sifa za kucheza hapa.
Afu kuwa positive ni sawa ila kutetea ujinga ni upumbavu, OSG alisema haitaji beki!! Hivi ni kweli hatuhitaji beki??
Tunampenda ila ajue mafanikio ya team ndio furaha yetu si hizo posivities zake na aache unafiki, tunataka wachezaji wazuri UNITED.
Inasikitisha mno.Duuh yani tumekuwa team ya ajabu.
Kutoka kuwa best team in england. Siku zinaenda aise ,yote haya sababu ni Poor management from owners.
Sent using simu mbovu