Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hayo ndio mafanikio ya timu? Kweli nyumbu mmeishiwa hadi mnajivunia viewers? Timu ambayo ukitaka kuelezea mara ya mwisho kuchukua Epl unaanza na "Hapo zamani za kale" haaaaaaa
Baadhi ya watu mkiwa na mkazo katika maisha yenu mnapenda sana kukurupuka.

Ajabu sasa ukute wewe ni shabiki wa Chelsea unajaribu kuzungumzia kitu kinachoitwa 'mafanikio ya timu' mbele ya mashabiki wa MUFC.
 
Mafanikio yapi hayo unayozungumzia wewe? Hayo ya kufikisha viewers 3m kwenye social network? Una misimu mingapi Epl hujanyanyua kwapa?
 
Mafanikio yapi hayo unayozungumzia wewe? Hayo ya kufikisha viewers 3m kwenye social network? Una misimu mingapi Epl hujanyanyua kwapa?
Mkuu,kama ungekuwa shabiki wa Liverpool tungeweza kujadiliana kuhusu mafanikio ya timu.

Lakini kwakuwa wewe sio shabiki wa Liverpool, nakuomba pumzika,futa kamasi zako ukabishane kuhusu mafanikio na mashabiki wa timu za size yako.

Lakini pia ungekuwa shabiki mwenye uelewa kama walivyo baadhi yao hapa ungetambua kwamba kuna tambo za mashabiki na mafanikio ya timu.
 
Uko sahihi kabisa Liverpool ndio level zenu maana na yeye ana miongo mitatu sasa(30 yrs) hajachukua ligi. Muende mkajadiliane sasa namna ya kukwepa hii fedheha
 
Lingard,young,smalling,jones,scot hawafai kuwa wachezaji wa manchester utd

Sent from my SM-G928C using Tapatalk
Ndio maana mou alimsajili ibra kwasbabu alijua tu kwamba hivi vitoto vyakina lingard, rashford vinakuwa serious kwenye mechi chache tu. Ngoja tumsubiri ole atakapo fanya usajili na kuuza baadhi ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole got the job and suddenly all the #ManUtd fans thought they will win EPL, UCL, Bundesliga, series A, league 1 American got talent, tour deFrance, Xfactor etc

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Hofu yangu ilikua ni united ile tunayoijua, ikatufanya tutambe, tushinde mataji ya ligi consecutively, mfululizo, ile united yenye timu ya kuaminika, haitakuja kurudi kamwe!! Na kama ikirudi basi itakuwa baada ya miaka ambayo tutakuwa wazeee kabisa, wasiwasi wangu ni kwamba we are doing a liverpool, na pengine tutakuwa zaidi ya walivosota liverpool,
Hofu yangu naiona ikisogea kuwa kweli, taratibu, ni vema sasa tukakubaliana na hali halisi,
Inaumiza sana pale ambapo unalipa wachezaji mapaundi ya pesa kila wiki, halafu wanakua-outclassed na wachezaji wanaolipwa hata robo ya mshahara wao haufiki, hii ni game ya nne sasa tunacheza hovyo, hata vs watford tulikua hovyo,
We need a miracle kuwafikia city na liverpool ya msimu huu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom