Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hofu yangu ilikua ni united ile tunayoijua, ikatufanya tutambe, tushinde mataji ya ligi consecutively, mfululizo, ile united yenye timu ya kuaminika, haitakuja kurudi kamwe!! Na kama ikirudi basi itakuwa baada ya miaka ambayo tutakuwa wazeee kabisa, wasiwasi wangu ni kwamba we are doing a liverpool, na pengine tutakuwa zaidi ya walivosota liverpool,
Hofu yangu naiona ikisogea kuwa kweli, taratibu, ni vema sasa tukakubaliana na hali halisi,
Inaumiza sana pale ambapo unalipa wachezaji mapaundi ya pesa kila wiki, halafu wanakua-outclassed na wachezaji wanaolipwa hata robo ya mshahara wao haufiki, hii ni game ya nne sasa tunacheza hovyo, hata vs watford tulikua hovyo,
We need a miracle kuwafikia city na liverpool ya msimu huu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana Man u inawachezaji wenye viwango vizuri tu ila hawako organized as a team na huenda ikahitaji squad overhaul kutengeneza timu nzuri tofauti na hapo tutaendelea kupotea kadri siku zinavyokwenda.

Lakini tutambue pia EPL inaendelea kuwa ligi ngumu sana kadri siku zinavyokwenda timu zimewekeza nyingi kiasi cha kubadili kabisa atmosphere ya ligi.

Hebu tuangalie the Ferguson Era kulikuwa na top four contenders wanne tu Liverpool, Man u Arsenal na Chelsea Leo hii kuna contenders sita kwa hali ya kawaida lazima kuwe na mtifuano mkubwa.

By the way msimu huu tuliupoteza from the beginning tukubali kuretreat na kwenda kujipanga upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hofu yangu ilikua ni united ile tunayoijua, ikatufanya tutambe, tushinde mataji ya ligi consecutively, mfululizo, ile united yenye timu ya kuaminika, haitakuja kurudi kamwe!! Na kama ikirudi basi itakuwa baada ya miaka ambayo tutakuwa wazeee kabisa, wasiwasi wangu ni kwamba we are doing a liverpool, na pengine tutakuwa zaidi ya walivosota liverpool,
Hofu yangu naiona ikisogea kuwa kweli, taratibu, ni vema sasa tukakubaliana na hali halisi,
Inaumiza sana pale ambapo unalipa wachezaji mapaundi ya pesa kila wiki, halafu wanakua-outclassed na wachezaji wanaolipwa hata robo ya mshahara wao haufiki, hii ni game ya nne sasa tunacheza hovyo, hata vs watford tulikua hovyo,
We need a miracle kuwafikia city na liverpool ya msimu huu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna vitu united na board kwa ujumla wanatakiwa kukubali kuirejesha united ile ni swala ambalo haliwez kutokea kwa kubahatisha kwa kuendelea kuwaongezea contracts wachezaji kam Phil jones,Ashley young,Chris smalling..Team ina mapunguf makubwa sana ambayo yamesababishwa na kukosekana kwa right players watakao dumu katika falsafa ya united izo team ulizotaja investment yao ilifanywa na watu wa mpira ndio maana wameweza kuwa threat kwan Liverpool 4 years back walikuwaje? Wamefanya right decisions kwenye kurejesha ushindan wao kweny PL ata Liverpool wakikosa ubingwa msimu naiona itakuw vizur kmchallenge city

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa akiendelea hivi atakuwa na wakati mgumu sana huku man u ikiachwa iwe kama burnley
mechi ya jana imenifanya nizidi kuwachukia wachezaji wa kiingereza.

inawezekana phelan, mckena, carrick wanamtijia ujinga OGS wa kupapatikia vichezaji vibovu vya kiingereza.
 
tusidanganyane wachezaji wapya wanne hawatutoshi, tunahitaji wachezaji 8 wa kuongeza nguvu.
zipo timu kama liverpool na man city ndizo zinapaswa angalau zitafute wachezaji wapya watatu tofauti na sisi.
6 wawe world class tatizo linakuja hakuna world class anapenda kucheza futuhi
 
Hivi ni sababu gani ilimfanya Ole kumtoa Lukaku na kumwacha Lingard uwanjani?
Hilo swali nilijiuliza jana, timu inataka goli unamtoa Lukaku na kumwacha Lingard ambaye hakuwa na kiwango cha maana siku ya jana

Lukaku pale mbele ndio alikuwa mtu tishio pekee pale mbele katika kutoa assist na kujaribu kufunga yeye mwenyewe

OGS inaonekana na yeye anawaabudu wachezaji waingereza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wamechafukwa.
20190403_202949.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tusidanganyane wachezaji wapya wanne hawatutoshi, tunahitaji wachezaji 8 wa kuongeza nguvu.

zipo timu kama liverpool na man city ndizo zinapaswa angalau zitafute wachezaji wapya watatu tofauti na sisi.
Mkuu ni kweli lakini je board ipo tayari kutoa hizo pesa maana wachezaji wakali 8 itatugharimu kama pauni MIL 670 mpaka paun mil 700 hahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni kweli lakini je board ipo tayari kutoa hizo pesa maana wachezaji wakali 8 itatugharimu kama pauni MIL 670 mpaka paun mil 700 hahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
fedha ya kufanya matumizi ya wachezaji kuanzia 6 hadi 8 sidhani kama ipo kwa msimu mmoja kama tutaamua kutafuta wachezaji wa bei ghali, na kama haipo hata msimu ujao mwendo utaendelea kuwa ni huu wa kucheza vizuri mechi tano then tunacheza ovyo mechi 5 (inconsistent).

kama target zetu ni wachezaji wanne ina maana antony martial, jesse lingard, nemanja matic, smalling, ashley young, rashford, shaw wataendelea kuwa wachezaji wetu wa kikosi cha kwanza msimu ujao.

mwanzoni ilikuwa ni man city peke yake lakini kwa sasa liverpool nao pia wanatuzidi kiubora kama utawalinganisha mchezaji mmoja mmoja. ukimuondoa lindeloff na paul pogba ambaye nayeye kiwango chake hakina tofauti na majira ya msichana (menstrual) sidhani kama tuna mchezaji mwengine mwenye uwezo wa kucheza kikosi cha kwanza pale liverpool.

allison vs degea ( kwa sasa namchagua allison)
arnold vs young ( hata mwendawazimu atamchagua arnold)
robertson vs shaw ( takwimu zinambeba robertson)
virgil vs smalling (virgil mchezaji bora wa mwaka)
matip vs lindeloff (victor yupo vizuri)
gini vs matic (gini yupo vizuri)
fabinho vs herrera ( kwa sasa fabinho)
lallana vs pogba (pogba)
salah vs rashford ( salah ameshuka kiwango lakini bado ni bora)
firmino vs lingard ( hata malaika watamchagua firmino)
mane vs martial ( mhhhhhhhh mane is the best baada ya aguero kwa msimu huu)
 
So during mourinho era we had a very good and complete squad and every single loss was because of him, now he's gone and our squad turned into shit, we need six to seven new players???

Utd fans is the real definition of hypocrisy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mkuu ndio unatakaga mtu kama tony pulis ndio aifundishe man u??

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Back
Top Bottom