Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MEN kwa habari zinazohusiana na Manchester ni very reliable

Reliable sources kwa ujumla ni Sky,BBC

Na hao huwa wana report confirmed news (yaani habari iliyo kuwa dhahiri) ambazo kwenye ulimwengu wa sasa ukisubiri sana confirmed news utachelewa

Hawa wengine kina Mirror, The Sun, Dail Mail n.k kadhalika wana report habari hata kama haijawa confirmed zinaweza kuwa za kweli au sio kweli kwa asilimia zote

Kinachinifanya niipe nafasi habari ya hayo majarida ambayo hayana uhakika kwa 100% ni jambo hilo hilo ku ripotiwa na jarida zaidi ya moja kwa mfanano

Kwa kuwa wewe umesema MEN ndio source uliyoitumia, naomba attachment/screenshot ya hiyo £80,000 kwa wiki na hiyo £100,000 kutoka MEN nitaikubali kwa mikono miwili kwakuwa na mimi ninakiamini hicho chanzo kuliko hivyo nilivyovitumia

Ila kama unasema authority sahihi ni MEN lakini haukutumia authority yoyote kuwasilisha hizo figure nitaendelea kuvitumia vyanzo vingi tofauti tofauti vilivyo report jambo moja kwa mfanano

Halafu kwa upande wangu hata kama sikiamini chanzo lakini kama kimemnukuu mtu ambaye ni sahihi nitaiamini tu hiyo taarifa, especially huko ulaya (maana hakuna gazeti linaloweza kuweka nukuu ya uongo)

Sasa kama gazeti limemnukuu msemaji wa Jose Mourinho anasema Fellaini alikuwa ni mchezaji wa 3 kwa kulipwa mshahara mkubwa United mimi niliopo huku Tandahimba ni nani nibishe?

Na kama wote tunajua Sanchez ambaye ni top earner analipwa £350K kwa wiki bila bonus, anafuata Pogba £290K kwa wiki then wa tatu ametajwa Fellaini yeye atakuwa analipwa ngapi? Kama Felli ambaye ni wa tatu(kwa mujibu wa msemaji wa Jose) alikuwa analipwa £100K basi akina De gea, Fred watakuwa wanalipwa £90K au £80K.
Fellaini alivyosajiliwa toka Everton alikuwa analipwa £ 80,000 baada ya kuongezwa ukapanda mpaka £100,000 sababu kubwa ya Fellaini kuchelewa lkusaini mkataba haikuwa fedha yeye alitaka mkataba wa miaka 2 with option to add another year while klabu ilimpa mkataba wa mwaka mmoja the same case inayochelewesha Mata kusign mkataba mpya

Hao The Sun, Mirror sio reliable source,the most reliable news kuhusu United ni MEN mshahara wa Lukaku ni £200,000 na sio 250,000

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa tetesi za usajili unaondelea kuvuma mitandaoni unaoihusu klabu ya real madrid,hivi man utd tungefanya usajili kama huo tungekuwa tuna ongelea post fergie era au tunge move on kuwa title contenders kama zamani?
Maana ni kama vile ilitakiwa tupitie kipindi kigumu kama hiki ilhali wenzetu chelsea,madrid,bayern,barca na hata hawa wakulima arsenal hawakuwahi kushuka kama tulivyofanya sisi mara baada ya babu kuondoka.
Ni kama hii hali ilitengenezwa makusudi sana ukizingatia aina ya wachezaji waliokuwa wakinunuliwa na hata kama walikuwa wakiletwa mastaa,wanakuja kwa vipindi vya kupishana sana kiasi kwamba average players ndio wanakuwa wengi kwa idad,lakini tukasahau kuliangalia hilo ila tuna focus kwa makocha kuwa ndio sababu ya matatizo yetu.
Madrid anafanya overhaul ya hatari kiasi kwamba hawezi kwenda chini sana hata aje kocha wa kariba gani.
 
Mkuu Madrid hawana namna ya kufanya overhaul ya kufa mtu

Ronaldo (Talisman wao aged, na akaamua kuondoka)

Bale aging na prone to injury

Modric ambaye ni mtu muhimu sana pale pia umri unamuacha

Kroos umri pia unamuacha (ana 29 lakini kuna wachezaji wanachoka mapema)

Ramos

Marcelo

Etc

Yaani karibu timu nzima ilikuwa inaelekea mwishoni (Zidane aliona mbali alivyoikimbia timu mara ya kwanza)

Madrid hii ni sawa na Man Utd ya SAF, iliachwa ikiwa kwenye hali mbaya sana

Na Barcelona miaka 2 ijayo wanaweza kujikuta kwenye haya mazingira, sipati picha Barcelona baada ya Iniesta, Xavier, Puyol, Bosquet, Messi (core ya timu)

Hiki kiliwakuta pia AC Milan walivyopukutika akana Maldin, Pipo, Seadorf, Gatuso, Nesta n.k

Ngoja tusubiri na tuone

Lakini unaweza kufanya mabadiliko kutokana na sababu tofauti tofauti sio lazima kwe kigezo cha umri. Kumbuka timu haifikii malengo yake kwa wachezaji iliyo nao.
 
Yeah ni kweli

Kwa kuwa wewe ni mdau humu nadhani huwa unafuatilia/kuchangia mijadala

Sio kwamba pale United hawanunuliwi wachezaji, wananuliwa lakini naweza kusema ni kwa kukurupuka

Can you imagine tangu babu aondoke imeshatumika takribani milioni £700?

Tatizo la kwanza watu wasio wa mpira (wafanyabiashara) ndio wanafanya football decision pale United

Tatizo la 2 mameneja wanaajiriwa bila kuzingatia football philosophy yao in relation na football philosophy ya club, hivyo kila kocha anayekuja anaanza upya kusajili, hamna uendelevu

Awe technical, Football ama Sport Director...... Anahitajika mtu wa ku bridge gap kati Wafanya maamuzi ambao wanaangalia sana biashara na staff inayoshughulika na football

Kingine, badala ya kuangalia quantity (kusajili sura mpya nyingi) tunapaswa kuangalia quality, yaani tusajili (wachezaji wenye uwezo kweli kweli hata kama ni wachache)

nimekupata mkuu,sasa naanza kuamini kauli za wajuvi wengi humu sisi tumegeuka taasisi inayoendeshwa kibiashara zaidi lakini matokeo ya uwanjani ni ziada. Asante sana.
 
MEN kwa habari zinazohusiana na Manchester ni very reliable

Reliable sources kwa ujumla ni Sky,BBC

Na hao huwa wana report confirmed news (yaani habari iliyo kuwa dhahiri) ambazo kwenye ulimwengu wa sasa ukisubiri sana confirmed news utachelewa

Hawa wengine kina Mirror, The Sun, Dail Mail n.k kadhalika wana report habari hata kama haijawa confirmed zinaweza kuwa za kweli au sio kweli kwa asilimia zote

Kinachinifanya niipe nafasi habari ya hayo majarida ambayo hayana uhakika kwa 100% ni jambo hilo hilo ku ripotiwa na jarida zaidi ya moja kwa mfanano

Kwa kuwa wewe umesema MEN ndio source uliyoitumia, naomba attachment/screenshot ya hiyo £80,000 kwa wiki na hiyo £100,000 kutoka MEN nitaikubali kwa mikono miwili kwakuwa na mimi ninakiamini hicho chanzo kuliko hivyo nilivyovitumia

Ila kama unasema authority sahihi ni MEN lakini haukutumia authority yoyote kuwasilisha hizo figure nitaendelea kuvitumia vyanzo vingi tofauti tofauti vilivyo report jambo moja kwa mfanano

Halafu kwa upande wangu hata kama sikiamini chanzo lakini kama kimemnukuu mtu ambaye ni sahihi nitaiamini tu hiyo taarifa, especially huko ulaya (maana hakuna gazeti linaloweza kuweka nukuu ya uongo)

Sasa kama gazeti limemnukuu msemaji wa Jose Mourinho anasema Fellaini alikuwa ni mchezaji wa 3 kwa kulipwa mshahara mkubwa United mimi niliopo huku Tandahimba ni nani nibishe?

Na kama wote tunajua Sanchez ambaye ni top earner analipwa £350K kwa wiki bila bonus, anafuata Pogba £290K kwa wiki then wa tatu ametajwa Fellaini yeye atakuwa analipwa ngapi? Kama Felli ambaye ni wa tatu(kwa mujibu wa msemaji wa Jose) alikuwa analipwa £100K basi akina De gea, Fred watakuwa wanalipwa £90K au £80K.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kuna kitu kinaitwa Fake News hili swala sahv limekuwa very common kwenye ulimwengu wa utandawazi kiasi kwamba imekuwa ngumu sana kucontrol flow of realiable information,kuna habari zipo nyingi sana mitandaoni ambazo sio za kweli zenye kupotosha umma na vitu ni rahisi sana kusambaa/kuwa viral sababu sahv mitandao ya jamii imekuwa mingi mno,juzi kati ilitoka statement ambayo watu- daily football (waandishi wa habari twitter) waka mnukuu Smalling akisema kwamba Messi ana weakness kwenye game yake na kwamba yeye peke yake ndo anaijua hyo weakness, hayo yalikuwa maneno ya mtu mwingine lakin wao wakampachikia Smalling na watu waliamini mpka ikabidi Smalling aseme kwenye twitter kwamba hzo habri ni fake news.

Hvyo hata kama mtu mkubwa kwenye Club kanukuliwa haina maana kwamba basi ndo uhakika,magazeti yako mengi na wanaandika vitu vingi kiasi kwamba huwezi kuchukua hatua kwenye kila jambo utakalosikia sio kweli, hata Sanchez walimpachikia maneno ya uwongo hapo mwanzo alivyokuwa anajiunga UTD nae ikabidi aseme kwenye mitandao ya kijamii kwamba ni Fake news,na hilo swala la habari kuonekana kote kote ofcoz sometimes inaweza kuwa kweli japo sio kwamba ni lazima some time ni copy and paste gazette moja linaandika uongo na jingine linafatisha uongo huo huo ili kuongeza mauzo.ndo maana mi sipendi kuongelea sana vitu ambavyo havijawa confirmed na reliable sources au kushuhudia kwa macho yangu,maana ukiamini kila kitu mitandaoni utaumia kichwa tu.

Fellaini mkataba wake wa Mwisho UTD alikuwa anavuta 100K na ilikuwa ni extension ya miaka miwili ila walikuwa tayari na mpango wa kumuuza,ss kama mtu unampamgo wa kumuuza huwezi msainisha mkataba mkubwa kiasi hicho (300k) maana atakosa soko coz hakuna Club ambayo ingekuwa tayari kumlipa zaidi ya hyo hela mtu kama Fellaini au hata kama utapata itakuwa ni bahati tu.
Source 1 Source 2
 
Kikosi chetu dhidi ya Mbweha leo
manchesterunited___BvwxMjtAs6s___.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom