kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Kwani mourinho kosa lilikuwa nn?Wale mnaomtupia lawama OLe mtuambie kosa lake nini?
Sent using simu mbovu
Kwani mourinho kosa lilikuwa nn?Wale mnaomtupia lawama OLe mtuambie kosa lake nini?
Sent using simu mbovu
Mkuu huu msiba ni wa kitaifa ..sisi fans wa Manure ni kilio mwanzo mwishoooMkuu hukawii ushatia timu kuweka kambi
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kuna zile besela kadhaa madgo wangetulia wangeshinda ata nne..Naomben possession maana kuna muda dakika za 80
Manyua hakugusa Mpira
Wolves wana roho mbaya sana
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hahaaaaaaaaaa- Mc Cane
-Mc Cane
- Mc Cane
Mchambuzi uchwara njoo na Article zako sasa zilizojaa Mchele tupu
Hahahahaha 'try again'Ole hana lolote zaidi ya kunyenyekea Pogba. Tunaacha kuchukua kocha wa uhakika tunabeba huyu 'tyr again'
Can you say something?Can you say something?
Mkuu wewe sio MANURE HALISI..Man United kuna TAKATAKA pamoja na mapungufu yake JM hajawahi kuwa mnafki katika maisha yake ya mpira
wolves wanatamani kila weekend wacheze na sisi(man u).wahuni sio watu daaaaaaaaaaaaah wolvers MUNGU anawaona


mbwa mwitu hao


simba sio ya kulinganisha na man u wajinga haoMan U inawechezaji wengi wabovu, Simba inaafadhali.
Ole must work hard on his tactics,team selection & substitution otherwise this job will be too big for himCan you say something?