Mambo ya mpira bhana yana utaalamu wake. Andreas benchi, Dalot na Jessy ndani. Ukitupa sisi Bush coaches tupange kikosi, lazima nitafute position ya kum-accommodate Andreas, anajua kuchezea mpira next to Pogba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya mpira bhana yana utaalamu wake. Andreas benchi, Dalot na Jessy ndani. Ukitupa sisi Bush coaches tupange kikosi, lazima nitafute position ya kum-accommodate Andreas, anajua kuchezea mpira next to Pogba
Technical director anakuja june.Yeah ni kweli
Kwa kuwa wewe ni mdau humu nadhani huwa unafuatilia/kuchangia mijadala
Sio kwamba pale United hawanunuliwi wachezaji, wananuliwa lakini naweza kusema ni kwa kukurupuka
Can you imagine tangu babu aondoke imeshatumika takribani milioni £700?
Tatizo la kwanza watu wasio wa mpira (wafanyabiashara) ndio wanafanya football decision pale United
Tatizo la 2 mameneja wanaajiriwa bila kuzingatia football philosophy yao in relation na football philosophy ya club, hivyo kila kocha anayekuja anaanza upya kusajili, hamna uendelevu
Awe technical, Football ama Sport Director...... Anahitajika mtu wa ku bridge gap kati Wafanya maamuzi ambao wanaangalia sana biashara na staff inayoshughulika na football
Kingine, badala ya kuangalia quantity (kusajili sura mpya nyingi) tunapaswa kuangalia quality, yaani tusajili (wachezaji wenye uwezo kweli kweli hata kama ni wachache)
Sent using Jamii Forums mobile app
Huioni au kiburi tu???Atack Atack Atack imeenda wapi
Sio ile ya mechi 7 zaza mwanzo wakati Ole a nakujaHuioni au kiburi tu???
Mbwa ukimjua jina hata hakusumbui
Kikosi cha leo bila Herrera first eleven wala sub inaweza kuwa ni clue nyingine kwamba jamaa anasepa
Sent using Jamii Forums mobile app