Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Tunaamini hata nyie mtafanya kazi nzuri dhidi ya vijana wa Etihad....mmefanya kitu nzuri sana leo,....Spuds cant help but to look over their shoulder who' s catching up!
Tunaamini hata nyie mtafanya kazi nzuri dhidi ya vijana wa Etihad....mmefanya kitu nzuri sana leo,....Spuds cant help but to look over their shoulder who' s catching up!
Tunaamini hata nyie mtafanya kazi nzuri dhidi ya vijana wa Etihad
Niambie lini Manu inashinda kwa possesion nzuri?Hakuna jipya,mun u jana ilishinda kiajabu kabisa!Possetion mbovu!Hovyo hovyo!
Hongereni sana mashetani wekundu.......kinachofurahisha zaidi....eti Arsenal nao leo wanafurahia ushindi wa ManU.......hihihihihi
Yaani kisa wamepunguza gap ya points..Arsenal wanavyotuchukia ilibidi tu washangilie bila kupenda mweeh!
Big up Ma u..Chama kubwa!!
Well done Giggs, Hernandez and finisher Rooney