ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Poleni zenu mwaya. Mmefungwa kwa tabu sana . Bila kipa wao kuokoa ziikuwa muwafunge sita hahaha. Lala salama BJ
kweli kabisa..
Poleni zenu mwaya. Mmefungwa kwa tabu sana . Bila kipa wao kuokoa ziikuwa muwafunge sita hahaha. Lala salama BJ
Do not worry GUY, you will not meet such tough opponents in future.TEH TEHKajitahidi leo tungepigwa nyingi..Hii backline yetu haujatulia.Asante mkuu ngoja nilale kabla sijaenda jukwaa lingine nikapigwa ban na hili balaa.
hiyo ndio Europa..
Man utd full mziki tena OT but wamechezea kichapo timu iliyotoka kupata kipigo cha bao 5 juz tu na Barca!
Halafu kale katimu kanatoka kwenye ile league ambayo huwa mnadanganyana kuwa ni a 'Two horse race.... !!!'
Poleni sana...