Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
goli la 3 naamini hata Balantanda ameruka juu kushangilia huko alipo
Leo tupo pamoja sana...goli la 3 naamini hata Balantanda ameruka juu kushangilia huko alipo
Naona Spurs shughuli imeambatana na mvua
And again we strike its Ashley young with a bicycle kick.Tottsy 0-2 Man U.
Safi sana Manure.......Leo tupo pamoja sana
Safi sana Manure.......Leo tupo pamoja sana
Mkesha wa huu ushindi wapi jamani? Nazunguka Dar yote na mafuta ya gari yananiishia sisikii vifijo na nderemo....wapi mashabiki wa Man Utd. ndani ya Dar hii? Mwaka huu ushindi ni wetu na kombe litabakia Old Trafford kama kawa!
FT Tottsy 3-1 Man United..
Leo tupo pamoja sana...
Mkesha wa huu ushindi wapi jamani? Nazunguka Dar yote na mafuta ya gari yananiishia sisikii vifijo na nderemo....wapi mashabiki wa Man Utd. ndani ya Dar hii? Mwaka huu ushindi ni wetu na kombe litabakia Old Trafford kama kawa!
game mbaya zote tumemaliza, tumebaki na city tu