D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Huyu mzee anaweza kuwa kweli(isipokuwa mechi ya cardiff).
Lakini OLe ana miezi mitatu ,hana ingizo jipya la wachezaji. Sio rahisi staili ya uchezaji kubadilika kwa muda huo.
Sent using simu mbovu
nadhani tatizo ni performance za wachezaji wetu hazieleweki.
kama hoja ni muda mbona sarri imemchukua mwezi mmoja tu kubadilisha mfumo mzima wa kiuchezaji pale chelsea japokuwa kwa sasa matokeo yao hayaridhishi na hata ukiangalia kwenye soko la usajili amemleta jorginho peke yake.