Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unataka ugomvi na mashabiki maandazi wa Manchester, they know nothing about rivalry in football, imagine anakuambia hatushindani na liver inamaana tunashindana na spurs
Top 4 ni muhimu kuirudisha timu kwenye track kuliko rekodi. Kutoshiriki Champions League kunaathiri sana brand na inatatiza ku-attract best talents na top class players kuja United.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naungana na wewe..there is nothing we can do we that combo anymore i.e Pogba Matic Herrera
aturudishie 4-2-3-1​
wapo wadau wanashauri nafasi ya matic apewe mctominay kiukweli si wazo baya kwa sababu dogo atazidi kujiongezea uzoefu lakini huyo mctominay anatupa kitu gani cha zaidi tunapotafuta goli?
kuna timu ukicheza nazo hutakiwi kuingia uwanjani na defensive mentality, kufanya hivyo ni kuzipa sababu ya kuchezea sharubu zako.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nadhani tatizo ni performance za wachezaji wetu hazieleweki.​
kama hoja ni muda mbona sarri imemchukua mwezi mmoja tu kubadilisha mfumo mzima wa kiuchezaji pale chelsea japokuwa kwa sasa matokeo yao hayaridhishi na hata ukiangalia kwenye soko la usajili amemleta jorginho peke yake.
Unachokisema ni kweli wachezaji ni tatizo pia.

Lakini kumbuka pia Sarri alikuwa nao pre-season, akijiandaa kwajili ya ligi nzima.

Ukija kwa Ole, kama sikosei katangazwa katikati ya wiki, weekend kuna mechi.

Halafu kilikuwa kipindi kile cha mechi za kila baada ya siku tatu. Akatoka hapo akutana na mechi ngumu.
Sidhani kama inakuwa rahisi kubadili mfumo ktk hali kama hiyo.

Sent using simu mbovu
 
Unachokisema ni kweli wachezaji ni tatizo pia.

Lakini kumbuka pia Sarri alikuwa nao pre-season, akijiandaa kwajili ya ligi nzima.

Ukija kwa Ole, kama sikosei katangazwa katikati ya wiki, weekend kuna mechi.

Halafu kilikuwa kipindi kile cha mechi za kila baada ya siku tatu. Akatoka hapo akutana na mechi ngumu.
Sidhani kama inakuwa rahisi kubadili mfumo ktk hali kama hiyo.

Sent using simu mbovu
mkuu, ndoto yako unataka kuona msimu ujao tunacheza soka la aina gani?
unadhani mabadiliko ya kiuchezaji yatatokezea ndani ya pre season?
 
Kwa maana hiyo unataka wasajili kikosi kipya kingine kwa hayo maoni yako ?
Machache niliyoyaona kupitia game ya Jana

1.Boring football-kiungo kilikuwa butu zaid ya butu yenyew na hili limeanzia tangu game na Arsenal matic(umri wa kuendelea kuwa kwenye top level umekwisha) sio mtu wa kutegemewa km tunahitaji kweli Ku rebuild united yenye ushindan kwenye modern era ya mbungi tunahitaji DM strong next season herera tangu arudi kutoka kwenye injury amepotea kabsa na kwa miaka yangu ambayo nimemuangalia Herera n aina flan ya viungo ambao hawawez kuwa kweny kiwango bora kwa msimu mzima n kam homa za vipindi inahitajika backup

2.Mechi ya jana naeza kusema hatukustaili kupata alama 3 may be 1 ilikuwa sawa kulingana na mechi ilivokuwa lakn ndio football ilivo sometimes can be cruel kitu nime notice kwa aina ya hawa wachezaj wetu mfano pogba ni tukubali kuna mda unaona wanahitaji kocha flan mbabe wana utoto utoto ambao hatakiw kuwa nao top player pia kitu kinacho wasumbua wachezaj wetu wa mbele Ni consistency hawana wanacheza vzr kipind flan tu cha msimu sehem kubwa wanazngua players wa aina hii km wataendelea hiv kushindwa ubingwa itakuwa n swala gum sana

3.mwsho kabsa tunahitaji kuongeza nguvu kwenye backline yetu hopefully tungepata complete CB moja,RB na LB tunaweza kushindan pia midfield tungeongeza watu wa wili msimu ujao tutakuw washindan halisi

"Ole gunnar solskjaer will not be a success at united unless the club gets the right players in"

Garry Neville

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Douglas Costa hana madhara sana na hafai kwa man united
Wan Bissaka sawa,ila hao wengine sidhani kama tutakuwa tumelamba dume..Sancho dortmund wanataka £90+,,sasa huu si ukichaa??

Naamini sokoni kuna watu wakali tu ambao wakiletwa timu yetu ita-advance

√Bruno Fernandez (Sporting Lisbon)

√Erisken(Spurs)

√Wan Bissaka (crystal Palace)

√Douglas Costa (Juventus)

√Bergwijn (PSV eindhoven)

Hawa watoto wa kiingereza wataitaji maturity kitu ambacho kwa sasa hatukiitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana media zinaitumia man u kuuza magazeti yake tu hata kama hawana interests na mchezaji husika
Media za kiingeraza ni za hovyo kuwahi kupata kutokea..too selfish

Muda utakuwa ni mwalimu mzuri kuhusu Ole na mipango yake,kama atakuwa anatujazia waingereza pale sijui tutakuwa ni timu ya aina gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man u wala haiwezi kumsajili Odoi tu
Kwa Odoi na Wan Bissaka mimi ninaona ni shobo tu za kutamani mchezaji kwa kuwa hatunaye, sikatai kuwa ni wachezaji wenye uwezo lakini sioni kama wao wataongeza kwenye kile tulichonacho

Dalot na Chong wanaweza kufanya hicho wanachofanya hao madogo tunaowashobokea. Tunamuwaza vipi Odoi wakati tuna akina Gomez na Greenwood?

Sancho is a big deal, nimeangalia mechi alizocheza na Spurs (UCL), nimeangalia mechi alizoitwa National Team, nimeangalia highlights zake YouTube na nimeangalia stats zake kwenye assists na goli alizofunga anaonesha ana uwezo sana, especially kwenye ku create chances, kitu ambacho kwa sasa tunamtegemea kupita kiasi kijana wa Raiola (Juda). Angalau tukiwa na creators kadhaa kwenye timu inasaidia.

Kama hatutampata dogo Sancho, tumfukuzie Hirvin Lozano na si Odoi



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom