Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
ok kumbe nimedandia gari kwa mbele, 🙏🙏🙏
mechi yao itakuwa ni mwezi wa tano hivyo basi ndani ya mwezi mmoja huu yeyote anaweza kupoteza muelekeo kati yenu.
kadri mutakavyoendelea kupata ushindi mutazidi kuwapa pressure lakini mukipoteza alama ovyo itakuwa ni kizaazaa.
Kwa kikosi chao na ile kuwa na kocha mwenye winning mentality naona watatushindia hapo.
Sisi kocha wetu siyo risk taker, anaogopa kusemwa hivyo analazimisha kuchezesha wachezaji wanaopendwa na wanazi ili tu asipondwe kama tukifungwa.