Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

huyo Warner unadhani utampata kwa cheap price?? na bado hajaprove chochote mpaka sasa hizo ni type za kina Belotti one season wonder and mid table teams player
umenikumbusha mbali sana, hivi yule fala belotti amepotelea wapi?

niliangalia video yake mara moja tu nikawaambia mashabiki wa chelsea munakwenda kununua kenge, jamaa anajua kutumia kichwa tu kama nyoka
 
Kocha yyte yule mwenye uwezo wa kuchukua makombe football is all about trophies sio kama livapool wanaofurahia hugging.

Unamuondoa kocha mwenye makombe 27 kwenye carrier yake unaenda kumchukua kocha aliyeishindwa hata Cardiff city.
Wafatiliaji wa mpira kupitia livescore utawajua tu, i can't even bother myself to argue with you!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allison ana enjoy sana ..uwepo wa VVD, Matip, Gomez, Walhunjuhd, Hendo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda mwingine ubora wa kipa huangaliwa ni uwezo wa kuisaidia timu pale inapozidiwa mfano Allison yeye ndo kasaidia liver mechi ya mwisho dhidi ya Napoli hatua ya makundi kwa kuokoa michomo hatari kumbuka hii ilikuwa mechi muhimu sana kwa liver kufuzu hatua inayofuata sasa vitu kama hivyo ndio hufanywa na makipa bora kama De gea, Allison n.k hao mara nyingi tu hadi wanakuwaga man of the match kuwafananisha na kikepa Arrizuamabalaa ni dharau kubwa mechi pekee aliyojitahidi ni dhidi ya city mliyopigwa sita maana zilitakiwa ziwe nane
 
yupo Torino bado
tamaa ziliwaponza torino pamoja na wakala wake, nimeangalia rekodi yake msimu huu ameshafunga magoli 10 SERIE A.
kutoka kutakiwa na chelsea kwa paundi millioni 60 hadi kutakiwa na west ham.
kweli hakuna aijuae kesho yake itakuwaje.​
 
Back
Top Bottom