Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Duuh...naskia Juve wanamtaka
Wadau wa man utd mijadala ya humu huwa inavutia sana kwa kuwa kila mmoja anakutoa hoja nzuri na za uhakika. Tatizo linakuja kwamba huwa hakuna ambaye anakubali kushindwa mjadala. Suala la klabu yetu kutofanya vizuri kunachangiwa na mambo mengi sana hasa ambayo yameishajadiliwa humu na wadau mbalimbali yakitawala.
Kuondoka kwa fergie ni sababu namba moja kwa kuwa tulizoea ushindi mara kibao wakati akiwa mwalimu wa united. Tunaweza kusema kaondoka na kismati chetu maana kuna kipindi alikuwa akichezesha wachezaji underdogs kuliko anaopata nao shida mou/ogs na wengineo dhidi ya timu kubwa na anashinda ila hakukuwa na ambaye alimlaumu kwa nini united inasajili/chezesha wachezaji wa aina ile. Leo hii tunaona herrera,matic ni underdog ukimlinganisha na fletcher,park ji sung,gibson,cleverley,n.k. Tulikuwa na akina anderson na timu ilikuwa ikifanya vema tu.
Tatizo la mourinho wote ogs katuonyesha kuwa si aina ya wachezaji tulionao pale united bali mbinu zake zilikuwa zimefikia tamati kulingana na aina ya ushindani iliyopo kwenye ligi. Kwa aina ya wachezaji wa united si wa ku park bus dhidi ya newcastle ya kuunga unga hii,huddlersfield,BHA ,n.k halafu unasingizia beki ya kati. Kwa mou nasema tulikosea na hata kama katuonyesha kuwa tunamahitaji ya beki wa kati lakini si kwa kiwango alichokimaanisha yeye. Unaweza kuwa na mapungufu ya mguu wa kushoto,basi fanya mguu mwingine utumike asilimia mia mbili kufidia udhaifu wako.
Kwamba ed woodward hajui mpira sidhani ni kwa kiwango hicho ambacho sisi tunataka kukimaanisha kwenye mijadala yetu. Kwa kuangalia kwa akili ya kawaida tu,unampeleka mtoto shule ya gharama kubwa lakini anapata wastani wa D,na bado mwalimu anakuomba ada zaidi ili mtoto apate alama A,unapaswa kujiuliza zaidi kama tatizo liko kwa mtoto au mwalimu kabla haujatekeleza matakwa yake. Naamini ilibidi mou atoke kwanza ili usajili ufanyike Na mwalimu atakayekuja ili atimize mahitaji yake kwanza. United vipigo viwili hivi visitupofushe,tuko kwenye uelekeo sahihi kwa upande wangu mimi.
GGMU
Na miaka yote ambayo tunacompete ulaya kikosi chetu kinakuwa kizuri. Washabiki wa man u wanatakiwa wasome history namna man u ilivyochange mwanzoni mwa miaka ya 2000 toka kutumia midfield 2 hadi 3 na namna kwa miaka ambavyo fergie alimuajiri queiroz na kumpa majukumu ya first team na timu yetu kujazwa wachezaji wa kireno/sout America mpaka kuja kuwa force iliofuzu fainali 3 ndani ya miaka 4.Lakini pia Ferguson kuna kipindi alikuwa na watu haswa..tusiseme tu kuwa ni kismati
Ronaldo,Tevez,Rooney,Nani,Park,Scholes,Giggs,Berbatov..kwenye timu kwa wakati mmoja unakuwa na hawa watu..unadhani mchezo??..Angalia timu yetu this time around
Mkuu umemfuatilia kwa karibu huyu dogo?Real Madrid are monitoring David De Gea's contract situation at Manchester United and would look to sell Thibaut Courtois to fund a move for Spain's number one goalkeeper.
hii movie sijui mshindi atakuwa ni nani hapo mbeleni, kama nawaona muda huu waingereza wanavyompigia chapuo kijana wao dean henderson aliye kwa mkopo sheffield united awe mrithi wa david degea kama mambo yatakwenda ndivyo sivyo.
kama david degea ataondoka sioni dalili ya klabu kulipa fedha nyingi kwa dhumuni la kutafuta golikipa mwengine hususani asiyekuwa muingereza.
nimeota mchana huu dean henderson amesimama kwenye milingoti mitatu ya old trafford, mara nyingi unapokuwa kwenye ndoto inayotokana na njaa huwa ni uongo.
acha niamini kuwa ni uongo
waingereza inaonekana wamechoka kuona makipa wao wanatokea under dog klabu.
View attachment 1049178
taarifa zake ndio nimeanza kuzifuatilia mchana wa leo, nilipokwenda youtube video zake ni wastani wa dakika 2 hivyo basi siwezi kutoa hukumu isiyokuwa na ushahidi wa kutosha.Mkuu umemfuatilia kwa karibu huyu dogo?
Mimi binafsi sijampata vizuri, isipokuwa tu nimeona anapewa chapuo na watu mbalimbali huko ulaya
Nimesikia Juve (wazee wa lose ball) wanammendea
Pia juzi Southagate kocha wa Three Lions amemsifia dogo na amesema anamfuatilia kwa karibu kwani siku za mbele anaweza kuisaidia timu ya Taifa ya Malikia
Kabla ya kwenda kwa mkopo huko Sheffield alisainishwa mkataba wa miaka 2 pale United
Sent using Jamii Forums mobile app
alipomuuza ronaldo halafu akatuletea valencia lilikuwa ni kosa la karne kwa mwanadamu kama yeye mwenye uzoefu wa soka, damu ya ronaldo ndio ilikuwa ishaanza kuchemka kimapambanoRonaldo,Tevez,Rooney,Nani,Park,Scholes,Giggs,Berbatov..kwenye timu kwa wakati mmoja unakuwa na hawa watu..unadhani mchezo??..Angalia timu yetu this time around
So mkuu point yako ni kuwa Fergie naye kwa kiasi fulani ametufanya miaka hii mitano tuyumbe??alipomuuza ronaldo halafu akatuletea valencia lilikuwa ni kosa la karne kwa mwanadamu kama yeye mwenye uzoefu wa soka, damu ya ronaldo ndio ilikuwa ishaanza kuchemka kimapambano
alipokataa kumsajili tevez halafu akatuletea michael owen lilikuwa ni kosa jengine kubwa kwa mwanadamu kama yeye.
taarifa zake ndio nimeanza kuzifuatilia mchana wa leo, nilipokwenda youtube video zake ni wastani wa dakika 2 hivyo basi siwezi kutoa hukumu isiyokuwa na ushahidi wa kutosha.
kuna uwezekano sheffield united wakapanda daraja msimu huu kama wataendeleza wimbi lao la ushindi, itakuwa ni nafasi nzuri ya kumuangalia msimu ujao kwenye ligi endapo david ataendelea kubaki klabuni.
sioni dalili ya manchester united kumrudisha klabuni msimu ujao kwa sababu hatokuwa na uwezo wa kumuondoa david degea.
waingereza walishawahi kutuaminisha ya kwamba emile heskey ni bora kuliko ronaldo de lima (chai ya usiku iliojaa banter)
😛😛😛
Ushakunywa gongo yako wa mia mbili hamsini basi unajiona mwambaa...Piga mbuzi hawa
Piga mbuzi hawaUshakunywa gongo yako wa mia mbili hamsini basi unajiona mwambaa...
Hakuna haja ya kutumia kauli za kipuuzi puuzi kwenye uzi wetu
😀😀😀😀Ushakunywa gongo yako wa mia mbili hamsini basi unajiona mwambaa...
Hakuna haja ya kutumia kauli za kipuuzi puuzi kwenye uzi wetu
Pep ametumia paundi mil 200 kununua mabeki ,timu zilizomfunga Man City ni Newcastle,Crystal Palace,Leicester lakini owner still wanaendelea kumsapoti sababu wanajua project wanahitaji nini
Mrudisheni Mourihno haraka.Kwani Mbona Chelsea walimwajiri Mourinho na Kumfukuza na Kumwajili tena na Kumfukuza hukushangaa?? au Mbna Hukushangaa Wenger Kukaa miaka yote hyo Arsenal bila Kufanya lolote la maana?? Au Madrid Kumwacha Zidane aondoke alafu wanarudi kumsajili tena??Au Bayern Kumruhusu Heynckes Kuondoka alafu kumrudisha tena?? Hivi vitu ni kawaida kwenye mpira mzee na Makosa hutokea Kwenye Club zote tu sio UTD peke yake!
Hizi mbuzi mchinjaji kapatikana.Piga mbuzi hawa
Hizi mbuzi mchinjaji kapatikana.
Rakitik, Arthur, Vidal ..Siku iyo King Mess hatofunga atatoa assist tu..
Sent using Jamii Forums mobile app