Manchester United (Red Devils) | Special Thread

lakini mkuu hata ukiangalia hao wachezaji aliowaleta wakati wa utawala wake pindi alipokuja jose mourinho ni wachache sana walioingia kwenye kikosi cha kwanza huku wengi wao wakiwa ni failure.
blind, schneiderlin, dimaria / depay, darmian, schwensteiger na hata luke shaw ambaye ndio kwanza msimu huu tumeanza kuona matunda yake ukiachana na sababu ya majeruhi.

mimi nadhani man utd hatukujiandaa kuishi bila ya ferguson ndio maana tuliishia kuchapia mabwana wasioendana na falsafa ya timu, ukiziangalia timu nyengine mfano barcelona hata kama itatokezea watamleta jose mourinho falsafa ya barcelona ndio atakayoifuata na si vyenginevyo.
 
Ha ha ha
 
Ile ni professional job na mtu hapewi mkataba kama njugu.
Kumbuka moja ya majukum yake ni kuhakikisha kuwa tim inamaliza katika sehem nzuri. Na mwisho wa msimu ndio uongozi utatoa maamuzi.
Sio mm ni uongozi umepanga mpaka mwisho wa msimu.
Kinachokwamisha mpaka sasa asipewe mkatàba ni nin?

Katika gem zake zote kashinda kapigwa gemu mbili tu ..hivyo ni wastanu mzuri apewe timu tu ili tuendelee kufurahi zaid..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hii ishu tulishaiongeaga humu mkuu,ishu hapa ninayoiona kwa mtizamo wangu ni kwamba hatakama coach angekuwa amepewa

budget ya matrilioni kama wachezaji watakao sajiliwa sio sahihi au Coach sio sahihi haitakuwa na maana yoyote,yaani hata

tumnunue Messi leo kama kocha anamifumo ambayo haiendani na mchezaji ni kazi bure,Kwa pesa ambazo UTD tumeshatumia

sahv ilitakiwa tuwe level sawa kabsa na City kwa kikosi lakin angalia tofauti iliyopo kati yetu hyo nikutokana na usajili mbovu na

kuwa na macoach ambao sio sahihi hvyo tusisingizie wakina Glazier wanaifilisi Klabu wakati hela inatolewa wananunua

wachezaji wa level za chini kwa bei mbaya!

Glaziers ndio wanatumia hela nyingi sana kwasababu Club ni yakwao, wale ni wafanyabiashara hawakuinunua Manchester

utd ilitushinde makombe mengi,waliinunua iliwapige hela,Club kama madrid zinazomilikiwa na mashabiki ndo zimekaa

kimichezo zaidi ndo maana wao wako tayari kununua mchezaji hata kwa bei mbaya sana coz mashabiki ndo wanapenda

hvyo,hvo hatuwezi jilinganisha na wale sema vile vile hizo pesa zinazotolewa na kina Glazier kwaajili ya Budget zinatosha

kabsa sema tu matumizi yamekuwa sio mazuri,tukipata Director of Football mzuri yeye ndo ataweza kutatua hilo tatizo la

matumizi mabaya ya kununua wachezaji wasio level ya UTD.
 
Mkuu Ishu siyo kufungwa bali mmechezaje kwa mfano mechi dhidi ya Asenane japo tulifungwa ila matumaini yalikuwepo tulicheza soka safi na lakueleweka ila mechi ya jana karibia timu nzima ilicheza kiwango kibovu hata kupiga pasi 5 za mbele bila kunyang'anywa mpira ilikuwa ishu vle vle hata mchezaji mmoja mmoja uwezo wa kumiliki na kukaa na mpira japo dk 2 ilikuwa shida cha ajabu kocha alishindwa kufanya hata subs mapema hicho ndo kinachokatisha timu nzima walikuwa hawana mbinu mbadala kuhusu kufungwa siyo ishu kubwa ila ishu mmefungwaje na mmechezaje
 
Hao makocha unaosema sio sahihi walipewa hiyo kazi na nani ?

Na hao wachezaji wasio sahihi hawawezi sajiliwa bila approval ya CEO



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo dof sio ela
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao makocha unaosema sio sahihi walipewa hiyo kazi na nani ?

Na hao wachezaji wasio sahihi hawawezi sajiliwa bila approval ya CEO

Sent using Jamii Forums mobile app


Point yako hapo haswa ni ipi mkuu? nenda straight kwenye point...mada yangu mimi ni kwamba Pesa zinazotolewa zinatosha kufanya usajili mzuri sema tunafeli kusajili wachezaji wazuri na tunasajili wachezji wa kawaida kwa bei mbaya, anaehusika kuleta wachezaji pale ni Woordward, ila Coach ana suggest wachezaji anao wataka kutokana na recommendation za mascout wa Club.
 
Ni kweli Mkuu. Kwanza bila umahiri wa kipa tungepigwa hata 4

Ndio mechi kama hizi kipindi cha Jose alikuwa anakuja plan B, ingiza Fellaini piga mipira golini kwa adui Lukaku, Fellaini, Pogba, Smalling, Matic wapambane. Hata mechi ya Juve away, tulishinda kupitia hiyo plan B

Unajua Wolves anapocheza na timu kubwa (big 6) anakuwa compact defensively na akipata mpira anafanya counter attacking. Ndio maana United jana walicheza pasi nyingi lakini zisizo na malengo. Tulikosa plan B, na tulipopata mpira tulikosa uharaka

Wolves anapocheza na timu ndogo anafunguka ndio maana alichezea kichapo hata kwenye mechi ya Huddersfield


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjadala ni mkubwa sana kiasi kwamba hatuwezi kubadili chochote kwa yanayoendelea pale old traffold. mou alikuwa anatupeleka shimoni kwa maana timu ndogo sana kama huddersfield zilitulazimisha kujilinda kisa hatuna beki wa kati imara. Alituaminisha hata kuiota top 4 ni dhambi kwa aina ya wachezaji tulionao.Leo hii kaja ogs,amerudisha style yetu ya attacking football walau timu za mid table kama arsenal na chelsea zimeanza kutuogopa. Kama wachangiaji waliotangulia walivyoainisha,timu yetu bado inahitaji kufanyike usajili mkubwa ili kurudi tunapostahili juu kabisa.

Binafsi naona mkuu ogs bado ni mtu sahihi hata kwa hiki kidogo alichoturudishia ndani ya kipindi hiki kifupi kwa rasilimali hafifu aliyonayo,tumpe muda walau akifanya usajili wa majira ya joto kama atapewa nafasi hiyo ili tuone ana nini kwa ajili yetu mashabiki.

Ukosoaji pia unakuwepo kutokana na mienendo ya wachezaji wa akademi anaoonekana kuwa kumbatia sana akina rashford na lingaard.Hadi hapo nadhani ogs kavuka malengo kwa wale tunaoamini kuwa hatuna wachezaji wenye ubora wa kidunia,na wale wengine ambao tunaona wachezaji wetu wanaweza kuingia kikosi cha kwanza cha man city na madrid,bado tunaona tatizo ni mwalimu ogs.
GGMU
 
The main problem ni Woodward

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata Mimi ndo nmetoka kuandika kitu ka hiki hapo juu........
Glazer wahatakiwa kulaumiwa maaana hela wametoa nyingi TU za usajili sasa Kama makocha wananunua wachezaji wanna feli au wanashindwa kuwatumia to their potentials wao wafanyeje.....

Hela waliyotumia city na utd tofauti Ni ndogo Sana kwa misimu 3 iliyo pita.....

Na hapa ndipo nakula kweli Pep ni kocha Bora maana kaunda timu mbili pale man City na zote Ni Bora kuliko utd kwa budget inayolingana.....

Pia kitu kingne uingereza kocha Ni manager, hivyo Ana maamuzi ya juu na makubwa Sana kwenye NANI ASAJILIWE, ACHEZE/BENCHI, AUZWE/AKOPESHWE ndio maana Pogba 80+ plus Mou alianza kugibisha bench TU hamna wa kumalizia, Chelsea Conte alimfukuza DCoasta alikuwa top scorer wa timu ikabeba kombe, na n.k,
hivyo kwa hela utd imesha zitumia wakulamiwa Ni makocha na wamiliki wa utd...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mou aliliweka wazi kwamba anasajiliwa na hawataki kumpa wachezaji anaowataka pale alipoanza ugomvi na Woodward, anaesajili hao wachezaji wabovu ni nani? Kama sio Woodward? Na wewe unasema wabovu ila mwenzako anasajili kibiashara. Wewe sanchez unamuona flop mwenzako anaona bonge la success, woodward ni mfanyabiashara sio mwanasoka, kila siku anajisifia jinsi sanchez alivyovunja record ya twitter na mauzo ya jezi, wachezaji wengi wetu wamesajiliwa kwa.motives ya kuingiza hela zaidi ya kuperform uwanjani.

Na hao kina Glazzer as long as Hela inaingia unafikiri wanajali? The way man u ilivyoundwa ifanikiwe ama isifanikiwe uwanjani hela zitaingia, sababu ni Global brand tayari.
 
Tatizo nyie mnaona mambo juu juu, pep did nothing at Man city,kuna mtu man city walim recruit toka barcelona amefanya kazi yote kuibadili timu ya man city, kujenga academies na mifumo mingine.

Pep amekuja pale sababu ya huyo jamaa, baada ya kuona amesharahisishiwa kila kitu, nipo njiani siwezi kutype sana unaweza ukagoogle zaidi, ila ukiangalia backbone ya man city, Aguero, silva, de bruyne, Fernandinho etc wote kawakuta tayari ameandaliwa.

Na hivyo ndio football club inavyotakiwa kuwa
 
Dof tu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa hichi kipind patatulia maana joto lilishaanza kupanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unaa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwape timu waarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…