OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Mzee bab umeandika kitu chenye maana sana..jambo moja kubwa ambalo washabiki na wapenzi wa manchester united tunapaswa kushukuru ni kushuhudia timu yetu imewahi kufundishwa na mwanadamu ambaye si mnafiki linapokuja suala lenye maslahi na kazi yake.
achana na madhaifu yake ya kujifanya ni msafi kwa kila jambo analoliamini lakini jamaa kwa kutumia mdomo wake usio ishiwa maneno ndiye aliyetuwezesha kufahamu kiundani madhaifu ya uongozi mzima wa manchester united.
huwa napenda kuzipitia comment zote za wachangiaji ili nipate kujifunza kwa sababu sijakamilika lakini ukizisoma hizi comment wengi wao wanarudi pale pale kwenye msimamo wa jose mourinho ambaye tulimuona shetani hata kwa lile ambalo lipo sahihi.
- kuna baadhi ya wachangiaji wanasema hatujawahi kusajili winga wa kulia kwa miaka 5, nadhani watakuwa wamepitikiwa kibinadamu kwa sababu chini ya david moyes tulimsajili wilfred zaha, chini ya LVG tulimsajili memphis depay, dimaria baada ya kumuona wilfred zaha hafai. Ukiifuatilia hii cinema kwa umakini ndio tunarudi pale pale kwenye mijadala yetu ya kila siku ya kwamba tulikuwa tunasajili na kuuza kwa kusikiliza zaidi porojo za walimu hata kama hawapo sahihi.
- alipokuja msema ukweli jose mourinho baada ya miezi kupita akamwambia ed woodward ya kwamba memphis depay bado hajawa na uwezo wa kucheza ligi ya uingereza kila wiki hivyo namhitaji ivan perisic wa inter milan, mpaka jose anaondoka hakuwahi kuletewa winga wa kulia.
- katika harakati zake za kujenga timu jose mourinho hakuvutiwa kabisa na juan mata lakini bodi ya klabu ilikataa kumtafutia mbadala, cha ajabu leo hii ndio kuna mashabiki ndio wanagundua udhaifu wa juan mata na wenzake.
- sitaki kuzungumzia ishu ya martial na jose mourinho kwa sababu sote tunafahamu jamaa alikuwa tayari hata kufanya swap deal dhidi ya willian wa chelsea, baada ya kumshuhudia jana martial akicheza ndio nimegundua jamaa alikuwa sahihi kumweka benchi antony martial na hata kumuondoa.
- sitaki kuzungumzia ishu ya walinzi wa kati ili nisiwachoshe, kwa sababu bado tunaendelea kuteseka licha ya jose kutokuwepo.
kama kweli united wana fedha kama wanavyojisifia zinapotolewa repoti za mapato mbona tunakimbilia kuwapa mikataba kina ashley young, jones, mata wakati wenzetu wanawatafuta mahrez, walker, sterling n.k.
Yote hayo jose alishayazungumza mara kwa mara lakini hatukumuelewa wengi wetu.
Tumuombe mungu kocha ajaye asiwe mnafiki ili aweze kuyapigania maslahi ya ukweli ya klabu la si hivyo tutashihudia tena dhoruba yenye maumivu.
mara paaaap matteo darmian, valencia wanapewa mikataba mipya huku man city wanamsajili ndombele na wanamrudisha jordan sancho.
Aiwezekani kabisa...ila Mendez dah Uyu mtu balaa..Ndiyo.
Unadhani mchezaji anaweza akatoka PSG akaenda Wolves? Kwa akili ya kawaida?
Sasa yule Moutinho katoka PSG kaenda Wolves...
Tangu Ole kapewa tim kapigwa gemu tatu nadhani...Kapigwa Gem mbili tu?
Hivi mnajitia machizi au?
mkuu fanya uhamie manchester united kwa sababu umeshakuwa muathirika wa hii thread.
Ewaaa hapo sasa unaongea ukweli.
Acha kumdanganya mwenzako.mkuu fanya uhamie manchester united kwa sababu umeshakuwa muathirika wa hii thread.
mkuu itakuwa umechanganya madawa, Tafadhali jaribu kupitia tena comment yangu halafu uangalie tena kwa makini hicho ulichokiandika.Acha kumdanganya mwenzako.
Jana nilikua naangalia gemu yenu na mwenzenu wa Man U. Ikaja ile faulo ambayo refa akatoa red.
Akaanza "Yule kapewa red kwakua alikua beki wa mwisho" nikamwambia "Red itatoka kokote kutegemea na dhamira ya mcheza faulo. Mfano kama huyu angefuata mpira angepewa njano"
Akaanza makelele. Sa mi si nnajua man u wengi mpira hamjui mmezoea kubebwa na marefa nikamuacha. VAR ikaonyesha ile ni yellow.
Akaanza tena "Ujue kagewa yellow kwakua alikua kakunja miguu hakuikunjua"
Tukamfukuza.
Mkuu, toka msimu wa 2014 Hadi Leo Man U wametumia zaidi ya 600 milions pound, Man City wametumia 680 milion [emoji386], Chelsea na Liverpool wote chini ya 500 milion [emoji386]jambo moja kubwa ambalo washabiki na wapenzi wa manchester united tunapaswa kushukuru ni kushuhudia timu yetu imewahi kufundishwa na mwanadamu ambaye si mnafiki linapokuja suala lenye maslahi na kazi yake.
achana na madhaifu yake ya kujifanya ni msafi kwa kila jambo analoliamini lakini jamaa kwa kutumia mdomo wake usio ishiwa maneno ndiye aliyetuwezesha kufahamu kiundani madhaifu ya uongozi mzima wa manchester united.
huwa napenda kuzipitia comment zote za wachangiaji ili nipate kujifunza kwa sababu sijakamilika lakini ukizisoma hizi comment wengi wao wanarudi pale pale kwenye msimamo wa jose mourinho ambaye tulimuona shetani hata kwa lile ambalo lipo sahihi.
- kuna baadhi ya wachangiaji wanasema hatujawahi kusajili winga wa kulia kwa miaka 5, nadhani watakuwa wamepitikiwa kibinadamu kwa sababu chini ya david moyes tulimsajili wilfred zaha, chini ya LVG tulimsajili memphis depay, dimaria baada ya kumuona wilfred zaha hafai. Ukiifuatilia hii cinema kwa umakini ndio tunarudi pale pale kwenye mijadala yetu ya kila siku ya kwamba tulikuwa tunasajili na kuuza kwa kusikiliza zaidi porojo za walimu hata kama hawapo sahihi.
- alipokuja msema ukweli jose mourinho baada ya miezi kupita akamwambia ed woodward ya kwamba memphis depay bado hajawa na uwezo wa kucheza ligi ya uingereza kila wiki hivyo namhitaji ivan perisic wa inter milan, mpaka jose anaondoka hakuwahi kuletewa winga wa kulia.
- katika harakati zake za kujenga timu jose mourinho hakuvutiwa kabisa na juan mata lakini bodi ya klabu ilikataa kumtafutia mbadala, cha ajabu leo hii ndio kuna mashabiki ndio wanagundua udhaifu wa juan mata na wenzake.
- sitaki kuzungumzia ishu ya martial na jose mourinho kwa sababu sote tunafahamu jamaa alikuwa tayari hata kufanya swap deal dhidi ya willian wa chelsea, baada ya kumshuhudia jana martial akicheza ndio nimegundua jamaa alikuwa sahihi kumweka benchi antony martial na hata kumuondoa.
- sitaki kuzungumzia ishu ya walinzi wa kati ili nisiwachoshe, kwa sababu bado tunaendelea kuteseka licha ya jose kutokuwepo.
kama kweli united wana fedha kama wanavyojisifia zinapotolewa repoti za mapato mbona tunakimbilia kuwapa mikataba kina ashley young, jones, mata wakati wenzetu wanawatafuta mahrez, walker, sterling n.k.
Yote hayo jose alishayazungumza mara kwa mara lakini hatukumuelewa wengi wetu.
Tumuombe mungu kocha ajaye asiwe mnafiki ili aweze kuyapigania maslahi ya ukweli ya klabu la si hivyo tutashihudia tena dhoruba yenye maumivu.
mara paaaap matteo darmian, valencia wanapewa mikataba mipya huku man city wanamsajili ndombele na wanamrudisha jordan sancho.
Mbona naona kama unamshauri jamaa ahamie Man U?mkuu itakuwa umechanganya madawa, Tafadhali jaribu kupitia tena comment yangu halafu uangalie tena kwa makini hicho ulichokiandika.
havifanani kabisa kama maziwa na maji
ishu iko hivi: jamaa ni mpenzi mkubwa sana wa chelsea humu JF lakini muda mwingi sana unamkuta ndani ya hii thread akileta upinzani wake.Mbona naona kama unamshauri jamaa ahamie Man U?
Ndiyo maana nikaanza na usimdanganye.
Au wewe siyo Man U?
Mkuu, toka msimu wa 2014 Hadi Leo Man U wametumia zaidi ya 600 milions pound, Man City wametumia 680 milion [emoji386], Chelsea na Liverpool wote chini ya 500 milion [emoji386]
Mbona watu bado wanalalamika kuwa Man U/ Edwoord& Glazer hawatoi fedha za usajili[emoji849]...
Walimu wote waliopita Moyes,LVG na Mou mamesajili wachezaji wa milion 600 [emoji386] ambao ufanisi wao haonekani Kama wenzao City (tofauti ya city na man u KWENYE usajili Ni 80milion pound, tofauti ya ubora wa timu hizo wote tunajua)
Wamiliki wa man u Ni wafanyabiashara(investors) lazima washawishiwe kuwa Ni Nini kimebadilika isijekuwa wachoma hela Kam kwa DEPAY,DE MARIA, BLIND, LUKAKU, SANCHEZ, POGBA, HENRICH, BASTIAN, na nk wote hao wakiuzwa/wameuzwa kwa nusu Bei ya kusajiliwa ndani ya miaka 2.5 wakiwa hawajazalisha kulingana na hell walizo nunuliwa
Afu bado wanaaambiwa wawekezaji/glazer/bodi watoe hela zaidi za usajili.... Duh[emoji43]
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Zaha alisajiliwa na fergie,jambo moja kubwa ambalo washabiki na wapenzi wa manchester united tunapaswa kushukuru ni kushuhudia timu yetu imewahi kufundishwa na mwanadamu ambaye si mnafiki linapokuja suala lenye maslahi na kazi yake.
achana na madhaifu yake ya kujifanya ni msafi kwa kila jambo analoliamini lakini jamaa kwa kutumia mdomo wake usio ishiwa maneno ndiye aliyetuwezesha kufahamu kiundani madhaifu ya uongozi mzima wa manchester united.
huwa napenda kuzipitia comment zote za wachangiaji ili nipate kujifunza kwa sababu sijakamilika lakini ukizisoma hizi comment wengi wao wanarudi pale pale kwenye msimamo wa jose mourinho ambaye tulimuona shetani hata kwa lile ambalo lipo sahihi.
- kuna baadhi ya wachangiaji wanasema hatujawahi kusajili winga wa kulia kwa miaka 5, nadhani watakuwa wamepitikiwa kibinadamu kwa sababu chini ya david moyes tulimsajili wilfred zaha, chini ya LVG tulimsajili memphis depay, dimaria baada ya kumuona wilfred zaha hafai. Ukiifuatilia hii cinema kwa umakini ndio tunarudi pale pale kwenye mijadala yetu ya kila siku ya kwamba tulikuwa tunasajili na kuuza kwa kusikiliza zaidi porojo za walimu hata kama hawapo sahihi.
- alipokuja msema ukweli jose mourinho baada ya miezi kupita akamwambia ed woodward ya kwamba memphis depay bado hajawa na uwezo wa kucheza ligi ya uingereza kila wiki hivyo namhitaji ivan perisic wa inter milan, mpaka jose anaondoka hakuwahi kuletewa winga wa kulia.
- katika harakati zake za kujenga timu jose mourinho hakuvutiwa kabisa na juan mata lakini bodi ya klabu ilikataa kumtafutia mbadala, cha ajabu leo hii ndio kuna mashabiki ndio wanagundua udhaifu wa juan mata na wenzake.
- sitaki kuzungumzia ishu ya martial na jose mourinho kwa sababu sote tunafahamu jamaa alikuwa tayari hata kufanya swap deal dhidi ya willian wa chelsea, baada ya kumshuhudia jana martial akicheza ndio nimegundua jamaa alikuwa sahihi kumweka benchi antony martial na hata kumuondoa.
- sitaki kuzungumzia ishu ya walinzi wa kati ili nisiwachoshe, kwa sababu bado tunaendelea kuteseka licha ya jose kutokuwepo.
kama kweli united wana fedha kama wanavyojisifia zinapotolewa repoti za mapato mbona tunakimbilia kuwapa mikataba kina ashley young, jones, mata wakati wenzetu wanawatafuta mahrez, walker, sterling n.k.
Yote hayo jose alishayazungumza mara kwa mara lakini hatukumuelewa wengi wetu.
Tumuombe mungu kocha ajaye asiwe mnafiki ili aweze kuyapigania maslahi ya ukweli ya klabu la si hivyo tutashihudia tena dhoruba yenye maumivu.
mara paaaap matteo darmian, valencia wanapewa mikataba mipya huku man city wanamsajili ndombele na wanamrudisha jordan sancho.
Fixed*AJAX vs JUVENTUS*
Ajax eliminated Real Madrid, Juventus eliminated Athletico Madrid. Both teams eliminated are from Spain.
*TOTTENHAM HOTSPURS vs MANCHESTER CITY*
Tottenham eliminated Borussia Dortmund, Manchester City eliminated Schalke 04. Both teams eliminated are from Germany.
*BARCELONA vs MANCHESTER UNITED*
Barcelona eliminated Olympique Lyonnaise, Manchester United eliminated Paris Saint Germaine. Both teams eliminated are from France.
*Coincidence? Or fixed? [emoji848][emoji848]*
Kabisaa!! Upo siriyaz aise...!! Manure ni timu ya mtu kama mimi niliye akili timamu kuishabikia? achaga utani mkuu..mkuu fanya uhamie manchester united kwa sababu umeshakuwa muathirika wa hii thread.
Hahahahaha hahaha siwezi huu kufanya upumbavu kama huu ..nikifanya hivi kizazi changu chote kilaaniwe...ishu iko hivi: jamaa ni mpenzi mkubwa sana wa chelsea humu JF lakini muda mwingi sana unamkuta ndani ya hii thread akileta upinzani wake.
nimezungumza kama ni utani kwa kumwambia ahamie manchester united kwa sababu hii thread imeshamuathiri.
1. Lvg hakupewa hela za usajili wa kuimarisha Timu bali za kureplace wachezaji, anapewa timu hali ya kuwa mabeki watatu wa kutegemewa ndani ya club wanaondoka kwa mpigo, Vidic, Rio na Evra, midfield nao wanaondoka kina scholes, fletcher etc alibaki carrick, Giggs kastaafu, timu haina quality kabisa, ukiangalia usajili wa LVG alileta tu squad players kina shaw, Herrera, blind etc hao kina Di maria, Falcao etc waliletwa tu na timu kocha alikuwa na Target zake Muller, Robben Etc.Mkuu, toka msimu wa 2014 Hadi Leo Man U wametumia zaidi ya 600 milions pound, Man City wametumia 680 milion [emoji386], Chelsea na Liverpool wote chini ya 500 milion [emoji386]