joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,837
- 39,404
Mmmh mbona unakuwa muongo,mwanzo mwisho Arsenal katawala kati pale,wewe mashambulizi yako yalikuwa ya kuvizia.Anasema eti alitawala kiungo, nadhani alikuwa anaangalia game tofauti na tuliyoangalia wengine
Arsenal walicheza vizuri dakika 15 za kwanza, baada ya hapo wakapoteana
Game ya jana imeamuliwa na bahati, sometime bahati kwenye soka ina nafasi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Graeme Souness blames Manchester United's 'off-the-pace' midfield for Arsenal loss