tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,189
- 29,748
Huyu jamaa si ndio aliwafungia penati dk za lala salama kule ufaransa leo kawa mpuuzi tena?Rash ni mpuuzi kweli kweli.
Kila marefu yana mwisho.Duhhh!! Mechi hii nilikuwa nimeisahau nimejutaaaaa kuikumbuka,dah!! Maisha yamebadilika sana Arsenal alikuwa kibonde wetu,yaani hizi dakika zilizobaki natamani itokee ile miujiza kama ya enzi zileeeeee dahhhhhhhh!!!!!! We missed the point!!!! Haya ndo mpira kuna kushinda na kushindwa.
#GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Rash ni mpuuzi kweli kweli.
Huyu jamaa si ndio aliwafungia penati dk za lala salama kule ufaransa leo kawa mpuuzi tena?
Naona Fred aliachiwa mwenyewe huku Pogba na Matic walikuwa wamelala haswa.Pia kiungo cha pogba matic na fred huwaga ni majanga wote wavivu
Sent from my iPhone using Tapatalk
HIV matic alikuwepo LeoNaona Fred aliachiwa mwenyewe huku Pogba na Matic walikuwa wamelala haswa.