Plastic fanKesho inabidi mashabiki badala ya kuimba Ole Ole Ole Oleeeee waimbe tenda muujiza teeeenda muujiza usiache Bwana mechi hii iishe bila kutenda muujiza
Ila PSG msituvue nguo tafadhali tufungeni kiustaarabu jamani
GGMU..... no matter what we are united!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungasha cha kwakoWADAU wa MAN U.
Mmebakisha masaa mangapi kufungasha VIRAGO vyenu?
mimi nimeona live mwanzo mwisho ila mpaka game inaisha sikuamini nilichokiona,,Mi nlilala mapema sana janaa, kuja kustuka nikazama whatsupp nikaona 1-3
Sikuamini,
Sent using Jamii Forums mobile app
UmeamkajeWADAU wa MAN U.
Mmebakisha masaa mangapi kufungasha VIRAGO vyenu?
Madrid washaozaTunaamini tutafanya maajabu walofanya Ajax. Ila Ajax wanaupiga jamani.
Unapaswa kuiamini timu yakoMpira ungedunda kama sio hawa majaruhi tulionao na kadi ya Pogba.
Izi kauli huwa mnazitoa wapiSioni tukipata chochotw kwa PSG leo kikosi kilichosafiri sio cha kushindana na hawa jamaa
Mbona hujatokea asubuhi hiiLeo hii kabla jimbi hajawika mashetani wekundu watakuwa wameaga mashindano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha chelsea amaSitoshangaa Leo hichi kikundi Cha wahuni kikipigwa 5
Bado unaimba tupoleni sana ndugu zetu, muliyataka wenyewe, chaguo lenu wenyewe, acha muisome nambaaa, musome nambaaa, kipigo mbele kwa mbele, oooh mbelee kwa mbelee, tunawaacha mupigwe tanooo, mupigwe tanooo, kipigo mbele kwa mbelee
Hahahahha aibuuuuuuuuHuna timu ya kumfunga PSG hata wakicheza 8 ndani.
Huu msimu wa nne sasa hawajavuka hii hatuaNi jambo zuri kujipa matumaini ila PSG sio timu rahisi kuifunga hasa anapokua home.
PSG hii ina mchanganyiko wa wachezaji wazoefu wanaojua nini cha kufanya na chipukizi wenye kiu ya mafanikio. Haitakua rahisi kufungwa kama wengi wanavyotamani iwe.
Kwa misimu zaidi ya 3 PSG hawajawahi kuvuka hatua hii ya 16 bora ila msimu huu wapo tofauti, kocha wao ana mbinu za ushindi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole sio MouTunaenda kuzuia ama vipi?? Lakini yote matokeo leo nipo tayari kwa lolote.
Sent using Jamii Forums mobile app