Slomo inaonyesha Ferdinand aliucheza ule mpira....Sorry Suarez
Giggsy na Scholesy wanacheza poa sana hadi sasa.
na bado lazima dogo awachome refa wa leo kajitahidi sana ngoja tuone kipindi cha pili..
Hodi hodi Jamvini wenyewe mko wapi?
Hodi hodi Jamvini wenyewe mko wapi?
Giggsy na Scholesy wanacheza poa sana hadi sasa.
Sasa ni kutulia na mpira na kutafuta goli lingine