Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,454
Goooooool lukaku la 3.Ooops kumbe nilikuwa naota. Teh teh teh
Duh lakini logic umeipata ya kilichozungumziwa?kabla ya wewe kuleta list nyingine?Hao waliotajwa na hawa niliowataja wote walikuwa na potential ya kuwa ma superstars
Lakini kuna baadhi (kundi la kwanza) wameweza kuwa ma superstar lakini wengine wameishia kubaki wachezaji wa kawaida
Kimsingi nilitaka kuonesha hata hao akina CR7 kuna kazi imefanyika pale united ndio maana wakaja kuwa world class players.
Kwa hiyo united anapaswa kupewa credit, kwani vinginevyo wangeweza kuishia kuwa kama Bebe
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nirudie hii comment "NI JIPUUUU"Hapa naona ile tabia ya kushabikia watu kama kina Martial inaanza. Huyu dogo ni jipuuuu. Kwa mfano mechi ile na Palace alipwaya sanaa, mpaka Ole akaamua kumtoa na kumuingia Baily namba 2 na Young akasogea mbele namba 7 (alipokuwa huyu kijana) magoli yakamiminika kama uji. Dogo huyu ni JIPUUU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kusubiri,hope linakuja.GGMU. Nasubiria goli kwa hamu
SafiiiiiiiiiiiVAR.
PENALTY