Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu inabidi tukumbuke lukaku kafunga goli 26+ msimu uliopita kwenye all compee..je timu ikiboreshwa kwenye baadhi maeneo huoni pia na lukaku anaweza kuimarika??
Mkuu,tatizo lake ni dogo tu. Sio umaliziaji,ni kuucontrol mpira tu. Akipona hapo hana tatizo.
 
U nail it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1033791

Huyu dogo akifikisha miaka 21 itakuwa shida ndo kwanza ana 19
Hapa naona ile tabia ya kushabikia watu kama kina Martial inaanza. Huyu dogo ni jipuuuu. Kwa mfano mechi ile na Palace alipwaya sanaa, mpaka Ole akaamua kumtoa na kumuingia Baily namba 2 na Young akasogea mbele namba 7 (alipokuwa huyu kijana) magoli yakamiminika kama uji. Dogo huyu ni JIPUUU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti kati ya kukosa nafasi na kipa kuokoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lingine lipo. Mara yenu ya mwisho kuchukua ubingwa wa Epl ni mwaka gani?
Nadhani ilikuwa ni miaka 2 baada ya kumfunga Arsenal goli 8

Na miaka 5 baada ya kuchukua UCL ya 3 na miaka 5 baada ya kuchukua Club World Cup

Pia ilikuwa miaka 2 kabla hatujachukua FA na miaka 4 kabla hatujachukua Europa League na Carling

Vipi mkuu naendelea kupokea maswali, kama unahitaji ufafanuzi wowote nipo kwa ajili ya watu kama ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wachezaji hawajatufanyia sawa, hope second half watabadilika. Pia saints wamekuwa na nidhamu sana, wanazuia vizuri pia wanapenda mbele bila woga.

Second half atoke Lukaku na Alexes waingie madogo. Young upande kati kusaidia mashambulizi.
Hufai hata ukocha wa kuigiza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Young kajua lini kupiga penati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haaahaaa bogas kabisa unazunguka mbuyu, umeulizwa ni miaka mingapi we unaleta ngonjera, unataka kupoteza kuwa mna misimu sita mfululizo hamjachukua kitu, mnakua wasindikizaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…