Kufuatia uwanja wa darajani kuganda na barafu mechi iliyokuwa ipigwe katika dimba hilo imepigwa stop na itapangiwa siku nyingine.
Nadhani hii ndo itaamua bingwa ni nani>source sky sports news saa 7mchn!
Dah! Umenkata maini, ilikuwa jamaa anyongwe darajani!
Kama unakumbuka game zetu darajani, last season David Luiz alimchezea rafu Rooney ambayo alitakiwa kupewa red card refa akapeta akamchezea tena Chicharito refa akapeta baadae Luiz akafunga goli la ushindi,Kuna game JT alifunga goli kabla ya goli alicheza faulu refa akapeta JT akafunga goli la ushindi na kuna Game walitufunga 2-1 Drogba alikuwa offside akafunga goli la ushindi.Hayo yote hamkuyaona Stamford imekuwa mahali ambapo tunapata maamuzi mabaya sana dhidi ya ManU

Humu ingekuwa watu wanakutana Uso kwa Uso wangesha chanana viwembe vya kutu :biggrin: watu wakiamuwa kubishana mwisho wanakuwa wanazi ila nashukuru Belo anakuwa si mnazi kwenye ukweli anasema ukweli. Unazi muda mwengine unaharibu ushabiki wa humu ndio mwisho watu wanarukia matusi, tumtowe Howard Webb , tutizame zaidi timu gani leo imecheza vizuri kwa kutaka ushindi je zingeongezwa dk kama 15 ni timu gani pale ingeshinda? ni United nafikiri LFC ikija game na United inatakiwa wajikamue sana ili kuwafunga watani. Tatizo la Chelsea walikuwa Bosingwa na Luiz wanapanda sana kwa kujihami.
Huyu huyu ndie aliecheza fainali kati ya Spain na Holland,WOZA 2010!
Sasa sijui wewe ni nani kama unamwona hana maana!
Na atakapopewa final ya Euro hapo mwezi wa sita,ndio utakufa kabisa.
Nakubaliana na wewe but my point ni kuwa kila timu inabebwaMkuu, ukitaka kutoa analysis vizuri ni vema ukaepuka upenzi kwanza. Hiyo mechi tuliyoshinda 2-1 ilikuwa Old Trafford, si Stamford Bridge. Na kama wewe ni mkweli utasema kwamba hilo goli la Manchester lilifungwa kwa mikono na Macheda, kwa maana hiyo magaoli hayakuwa halali, moja la Chelsea na moja la Manchester, ina maana matokeo halali yangekuwa 1-0 Chelsea au?....angalia unaanza kuwa kama Wacha....anyway, hongereni kwa kubebwa leo....Webb is the worst referee in EPL.
Nakubaliana na wewe but my point ni kuwa kila timu inabebwa
Nimeipenda hii mkuu!!hatujabebwa tumebebeka!
The way unavyoiweka point yako ni kama vile Manchester anaonewa kila anapocheza na Chelsea, especially at SB! Ingekuwa nzuri zaidi kama kwenye hiyo horodha yako ungeongezea na matukio ya Manchester kubebwa inapocheza na Chelsea.