FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Good for nothing I can call it joh... This revolving and you cant spot the impact from Crystal-West-and today at OT
Sent using Jamii Forums mobile app
Good for nothing I can call it joh... This revolving and you cant spot the impact from Crystal-West-and today at OT
Ukweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
Wewe ukijitahid sana nafas ya 5 ,Nafasi ya nne ina wenyewe na wenyewe ni Chelsea na tunaitaka mpaka ya 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Good for nothing I can call it joh... This revolving and you cant spot the impact from Crystal-West-and today at OT![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamkuona pasi kama ile tulipocheza na Arsenal? Assist aliyoitoa kwa Sanchez.
Ungeuliza mechi ya aina gani kabla kunijibu. Sizungumzii performance,nazungumzia majeruhi. Wachezaji watatu wanaumia ndani ya dakika 25! Kwa matokeo haya ni kama United wameshinda.I have seen a lot of Mourinho's United like this one
Even some of SAF 's United, notably the one with Barca at Wembley
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizungumzii performance, nazungumzia majeruhi. Wachezaji watatu wanaumia ndani ya dakika 25 si kitu rahisi. Kwa matokeo haya Liverpool kapoteza point tatu Manchester United kapata point moja.Ukweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
Kumbuka big game zilivyojipanga hamna timu inayoweza kupiga timu 6 kibwa mfululizo lazima wawili au watatu watakuotea
Today you got zeho excuse broh... My team were upset with late injury but still you failed to cut the fate!
Mwaka jana pia tulichukua points 4 kwa Looserfools
Mimi pia nimeshangaa kweli hahahaha
Lfc took 4 points, the injuries blah blah its up to youToday you got zeho excuse broh... My team were upset with late injury but still you failed to cut the fate!
Sent using Jamii Forums mobile app
Angesusa na kusema wachezaji ni walaini wanasingizia majeruhiSipati picha leo kama kocha angekua ni mourinho halafu tumepata zile injuries tatu kipind cha kwanza....sijui ingekuaje yani
HayaUngeuliza mechi ya aina gani kabla kunijibu. Sizungumzii performance,nazungumzia majeruhi. Wachezaji watatu wanaumia ndani ya dakika 25! Kwa matokeo haya ni kama United wameshinda.
Matokeo haya yamempandisha LFC had kileleni mbio za ubingwa huku yakimtoa Nyumbu top 4.Mwaka jana pia tulichukua points 4 kwa Looserfools
Mwaka huu ilibidi wapate points 6 kulingana na majeruhi waliyoyapata United kwenye game ya leo
Hata mechi ya leo, pamoja na wao kumiliki mpira zaidi lakini United walikuwa hatari zaidi, mfano nafasi ya Lingard na Martial
Swali la kizushi, Matokeo haya yamemuweka nani kwenye wakati mgumu kati Man Utd kwenye mbio za top 4 na Looserfools kwenye mbio za ubingwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
You got worst performance at OT that will juicy enough... Finally you don't deserve the crown for this pity performance.