OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Kwa majeruhi yasiyotazamiwa leo na mmeshindwa kushindaArsenal hovyo nao wapo
Huwezi mfunga Liverpool wala Man City EPL
Mkicheza sana leo ni sare
Siamini mpaka sasa hivi na Shaw kanifanyia maajabu kwa yule mwarabu daaahTukubaliane solskjaer apewe timu kiungo cha scott , pogba na perreira kinamtoa kamasi liverpool hakika tumebadilika
Kituko cha mwakaMechi ilikuwa ngumu... bora tumepata angalau point moja. Pamoja na majeruhi yetu looserfools wameshindwa kufurukuta hata kidogo.
Mkuu umerudi? Karibu tena
Bolingoli leo katoa pasi ya hela kwa Lingard
Sure halafu mtu anasema haoni mabadiliko.Tukubaliane solskjaer apewe timu kiungo cha scott , pogba na perreira kinamtoa kamasi liverpool hakika tumebadilika
Sio mojaBolingoli leo katoa pasi ya hela kwa Lingard