Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijawahi kuona mechi kama hii tangu nianze kuifahamu Manchester United
Ukweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
 
Ni kweli, mechi kama hizi zinakuwa tactically zaidi, hivyo usijeshangaa mwisho wa mchezo Man Utd akashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Big mistake kumuingiza Lingard kipindi cha kwanza wakati ni majeruhi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kweli kabisa inabidi wachezaji wacheze kwa kujilinda pia hawa vijana hawaangaliagi clip za Messi kama pale Lingard hakutakiwa kupunguza pale una chop kama Messi jana tu Messi kamchopia goli kipa wa sevilla maeneo yale yale
 
Ukweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
Mkuu mbona unajisemesha sana? Hebu ongea kama mwanaume ueleweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom