Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Tatizo lako chalii ukifungwa unapotea kabisa
Tatizo lako chalii ukifungwa unapotea kabisa
Kwanza hilo basi ambalo angelipaki.yani tunheangalia mpira kwa presha na tungeishia kufungwa.Angesusa na kusema wachezaji ni walaini wanasingizia majeruhi
You got worst performance at OT that will juicy enough... Finally you don't deserve the crown for this pity performance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Which will result to net loss at your booksThank you for the 4 points, they really added a thing in our pocket
Sent using Jamii Forums mobile app
Looserfools mmeumizwa zaidi na haya matokeo, kutoka points 7 dhidi ya City mpaka leo point 1Matokeo haya yamempandisha LFC had kileleni mbio za ubingwa huku yakimtoa Nyumbu top 4.
Lete swali lingine la kizushi
Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeo haya yamempandisha LFC had kileleni mbio za ubingwa huku yakimtoa Nyumbu top 4.
Lete swali lingine la kizushi
Sent using Jamii Forums mobile app
Looserfools mmeumizwa zaidi na haya matokeo, kutoka points 7 dhidi ya City mpaka leo point 1
Hamna timu ya kuchukua kombe pale, mwaka wa 30 sasa ...... Tangu 1990 kipindi hicho ni ligi daraja kwanza![]()
![]()
![]()
![]()
Na mwisho wa msimu mtadhihirisha kwamba nyie ni Looserfools
Sent using Jamii Forums mobile app
Man u anakimbizana na chels na aseno.. . Liva anakimbizana na city..nazani umeona tofauti
Mmmm kwahiyo ushindi ndo huu. Dah.Ungeuliza mechi ya aina gani kabla kunijibu. Sizungumzii performance,nazungumzia majeruhi. Wachezaji watatu wanaumia ndani ya dakika 25! Kwa matokeo haya ni kama United wameshinda.
Utakuwa umenifanaisha na OllachugaTatizo lako chalii ukifungwa unapotea kabisa
Big mistake kumuingiza Lingard kipindi cha kwanza wakati ni majeruhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema lukaku tunamsema sana hadi tunajisahau kama jamaa anajuaHamkuona pasi kama ile tulipocheza na Arsenal? Assist aliyoitoa kwa Sanchez.
Sent using Jamii Forums mobile app
loserfool bana.
As always
Sanchez anashindwa kumpa kocha kile kinachotakiwa ndo maana ile sub ikawa vile mkuu.
Kama Umeangalia game ya leo vizuri, ni hakika Liverpool hastahili kuwa bingwa wa EPL na hatakuwa bingwa wa EPL... Walitawala mchezo kiasi fulani but sisi tulikuwa hatari zaidi yao.....
Scot and pereira wamecheza vizuri sana na wanastahili pongezi... tunauhitaji mkubwa sana wa viungo tunauhitaji sana na kama leo Solskjaer hajaona hili basi haji kuona tena kama tunamatatizo ya viungo wazuri ili akiumia mmoja mwingine akakiwashe....
Backline nzima imecheza vizuri...shaw is back at his best. Victor alikuwa poa smalling too hata young amejitahidi... .
Naangalia game ya Dortmund hapa hebu aje Sancho Wakuu namba 7 yetu imepoa kinoma hadi sio vizuri... Namba 10 yetu ndo kama hv... yan Man u huwa tuna namba 10 wazuri ni safari hii tu tunapwaya....sanchez bhana sijui ilikuwaje. ...
Naipenda sna hii timu wakuu mimi mpaka mda flani nliwaza labda nasisi tuchangie hata elfu 3 kwa kila shabiki wa Man u duniani.... Naimani tutawanunua Koulibally na sancho kwa pamoja.....but ndo hvo chamsingi timu isajili na director awepo aongoze mapinduz yani hatuna timu ya kuchukua EPL ingawa wachezaji wanajitoa sana....tuwaongezee watu wakazi hata 5 tupimane ubavu na wakubwa wa ulaya next season
Sent using Jamii Forums mobile app